Neno la Mungu ni nguzo kwa wote walioamini
Neno la Mungu ni nguzo kwa wote walioamini
Neno la Mungu ni nguzo kwa wote walioamini
Neno la Mungu ni nguzo kwa wote walioamini
Neno la Mungu ni nguzo kwa wote walioamini
Neno la Mungu ni nguvu kwa wote walioamini
Neno la Mungu ni nguvu kwa wate walioamini
Neno la Mungu ndiyo Nguvu ya Wote walioamini
Neno La Mungu ni Nguvu ya Wote Walioamini
Neno la Mungu ni taa ya miguu yetu
Tenzi za Rohoni hutusaidia kumuimbia Mungu wetu kwa namna ambayo mioyo yetu inaungana naye katika ibada
Karibu sana katika Kipindi cha Ulimwengu wa Miujiza, kipindi ambacho kinakuletea mambo mengi yanayohusiana na utendaji wa nguvu ya Mungu katika maisha ya mwanadamu. Hii ni nguvu ya kiMungu ambayo inafanya kazi ya ajabu kwenye maisha ya mwanadamu na kuleta badiliko la ajabu juu ya wote wanaoliamini jina la Yesu Kristo. Ni imani yangu kwamba hadi unamaliza kusikiliza kipindi hiki, utapata neema ya kuelewa na kuendelea kuiamini nguvu hii inayoutengeneza ulimwengu wa miujiza ambayo akili na uwezo wa mwanadamu hauwezi kufanya.

Ulimwengu wa Mkristo ni kipindi ambacho kinakuletea mkusanyiko wa mambo tofauti hususani habari na matukio yanayojiri katika ulimwengu huu na kuligusa moja kwa moja Kanisa la Yesu Kristo. Katika kufuatilia kipindi hiki, utapata kuyafahamu mambo mengi yanayojiri na pengine kukupa neema ya kujiimarisha kiroho wakati Kanisa likipita katika vipindi tofauti na vigumu, hususani kipindi hiki cha nyakati za siku za mwisho.

Msaada Utokao Mbinguni ni kipindi ambacho kinamsaidia msikilizaji kuutazama msaada wa Mungu ambao huyafanya yale yaliyoshindikana na kumpa upenyo wa namna ya kiMungu katika kuuendea ushindi aliokusudiwa na Mungu mwenyewe. Katika Kipindi hiki, utapata kusikia na kufahamu Baraka za Mungu zitokanazo na kazi ya msalaba wa Yesu Kristo kwa wanandamu wote, ushindi uliomo pamoja na wokovu uliopatikana Kalvari kwa kifo cha Yesu Kristo.
Msaada utokao Mbinguni ni kipindi ambacho kinamsaidia msikilizaji kuutazama msaada wa Mungu ambao huyafanya yale yaliyoshindikana na kumpa upenyo wa namna ya kiMungu katika kuuendea ushindi aliokusudiwa na Mungu mwenyewe. Katika Kipindi hiki, utapata kusikia na kufahamu Baraka za Mungu zitokanazo na kazi ya msalaba wa Yesu Kristo kwa wanandamu wote, ushindi uliomo pamoja na wokovu uliopatikana Kalvari kwa kifo cha Yesu Kristo.
Msanii Wetu ni Kipindi kinachokupa fursa ya kufahamu kwa undani kuhusu huduma ya uimbaji, kutoka kwa watumishi wa Mungu ambao kupitia Ofisi hiyo, wamemtumikia Mungu kwa furaha. Katika kipindi hiki, utausikia ushuhuda wa Joanitha, ambaye baada ya kupona majeraha kichwani yaliyotokana na kupigwa na kitu kizito kichwani na kundi la watu wanaosadikika kuwa ni wezi, na kuamua kumuimbia Mungu kwa kuzinena habari za utukufu wake
Washirika wa Kanisa la Rhema Outreach Ministries Kyabajwa, walipata nafasi ya kufika kwenye Studio za Redio Rumuli kwa ajili ya kufanya shughuli mbalimbali za kujitolea, ikiwa ni pamoja na kufanya usafi wa mazingira. Kitendo hiki kiliwabariki zaidi watendakazi wa Kituo hiki, na zaidi ya yote watumishi hao wakapata nafasi ya kueleza kuhusu msukumo wa wao kufanya hivyo. Karibu upate kusikiliza shuhuda zilizomo kwenye rekodi hii kwa baraka zaidi.
Uchambuzi Wa Kitabu Cha Biblia ni kipindi kinachokuwezesha kulijua Neno la Mungu kwa undani na kwa kina zaidi ili kumfahamu Mungu na mapenzi yake kupitia maandiko mbalimbali tunayokuwa tukiyapitia katika Biblia nzima. Tunachambua Biblia kitabu kwa kitabu, sura kwa sura na neno kwa neno ili msikilizaji aweze kuelewa mazingira neno lilipozungumziwa na kuelewa taafsiri ya neno husika kwa muktadha uliotumika. Kila andiko tulisomalo katika Biblia tunalitafsiri kwa mujibu wa agano jipya ili tuweze kutembea katika Neno la Mungu kwa wakati tulionao. Msikilizaji anaweza kutumia ufunuo anaoupata kwenye vipindi hivi na kuutumia katika eneo lolote la maisha yake mfano katika kazi zake za kila siku, katika ndoa/familia na katika huduma mtu aliyonayo.