
Msanii Wetu ni Kipindi kinachokupa fursa ya kufahamu kwa undani kuhusu huduma ya uimbaji, kutoka kwa watumishi wa Mungu ambao kupitia Ofisi hiyo, wamemtumikia Mungu kwa furaha. Katika kipindi hiki, utausikia ushuhuda wa Joanitha, ambaye baada ya kupona majeraha kichwani yaliyotokana na kupigwa na kitu kizito kichwani na kundi la watu wanaosadikika kuwa ni wezi, na kuamua kumuimbia Mungu kwa kuzinena habari za utukufu wake