Je wewe ni mwanahisa na una hisa zozote unamiliki katika soko la DSE?
Kama jibu lako ni hapana.
Basi…
Ndio muda sahihi wa kuanza kuwekeza katika hisa ili ufaidikie na faida kubwa mbili;
1. Ongezeko la mtaji (Capital gain).
2. kupata gawio (Divindend).
Lakini…
Kabla ya kutaka kuwekeza katika hisa hakikisha unakuwa na maarifa sahihi kuhusu hisa ili usije ukapigwa za uso.
Bahati nzuri ni kwamba…
Podcast bora ya kitanzania itakupa mwanga namna ya kujua mambo mengi kuhusu hisa.
Ni wewe kufollow na subscrible ili uwe wa kwanza kusikiliza mfululizo wa episode za elimu ya hisa na mambo mbalimbali…
…ya uwekezaji na maendeleo binafsi.
Huu ni utangulizi kiduchu, madini mengi utapata kwa kubofya link hapa chini kusikiliza madini mazito ya uwekezaji katika hisa.
Jifunze mbinu za Kujiuza kupitia episode ili upige hatua kwenye maisha yako.
Sikiliza mpaka mwisho episode hii.
Kanuni ya 40/20/10/10/10 itakusaidia kuanza kupanga bajeti ya fedha zako kwa mafanikio.
Sikiliza episode hii mpaka mwisho kujifunza.
Upo tayari kujua Siri za kuwa mwekaji mzuri wa akiba za fedha zako? Basi sikiliza episode hii mpaka mwisho
Hizi sehemu 06 ambazo unaweza kuanza kuwekeza akiba yako ili ikuzalishie zaidi.
Je unataka kujua kwa namna gani unaweza kuweka akiba kwa mafanikio mwaka 2025?
Episode hii itakueleza mbinu 04 ambazo ukianza kuzifanyia kazi basi utakuwa mwekaji mzuri wa akiba.
Usikubali mwaka 2025 uishe bila ya kuweka akiba.
Kwa sababu…
Kama wao wanaweza kwanini wewe ushindwe? Jibu kwamba unaweza kama utafanyia kazi maarifa ambayo utajifunza katika episode hii.
Chukua hatua sasa