
Je unataka kujua kwa namna gani unaweza kuweka akiba kwa mafanikio mwaka 2025?
Episode hii itakueleza mbinu 04 ambazo ukianza kuzifanyia kazi basi utakuwa mwekaji mzuri wa akiba.
Usikubali mwaka 2025 uishe bila ya kuweka akiba.
Kwa sababu…
Kama wao wanaweza kwanini wewe ushindwe? Jibu kwamba unaweza kama utafanyia kazi maarifa ambayo utajifunza katika episode hii.
Chukua hatua sasa