Podcast mahususi kujifunza mambo ya maendeleo binafsi (Personal development/Self-improvement), maisha, mahusiano, saikolojia na elimu ya fedha.
Ni podcast ya kipekee ambayo utajifunza mambo mengi ambayo yanatokea kwenye maisha yetu ya kila siku, kila kitu kinachozungumzwa hapa kina uhalisia na siyo nadharia ya kusadikika.
Kuwa sehemu ya familia hii na uhakika hautakuwa kama ulivyokuwa mwanzo, podcast ambayo itaboresha na kuongeza thamani ya maisha yako mara 10X au zaidi.
Hakikisha unafollow ili uwe wa kwanza kupata episode mpya kila wiki.
All content for Maisha Ni Kuthubutu Podcast is the property of Innocent Ngaoh and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Podcast mahususi kujifunza mambo ya maendeleo binafsi (Personal development/Self-improvement), maisha, mahusiano, saikolojia na elimu ya fedha.
Ni podcast ya kipekee ambayo utajifunza mambo mengi ambayo yanatokea kwenye maisha yetu ya kila siku, kila kitu kinachozungumzwa hapa kina uhalisia na siyo nadharia ya kusadikika.
Kuwa sehemu ya familia hii na uhakika hautakuwa kama ulivyokuwa mwanzo, podcast ambayo itaboresha na kuongeza thamani ya maisha yako mara 10X au zaidi.
Hakikisha unafollow ili uwe wa kwanza kupata episode mpya kila wiki.
Sehemu Tatu (03) Ambazo Hupaswi Kuweka Akiba Yako Ya Malengo Ya Muda Mrefu...!
Maisha Ni Kuthubutu Podcast
7 minutes 43 seconds
1 year ago
Sehemu Tatu (03) Ambazo Hupaswi Kuweka Akiba Yako Ya Malengo Ya Muda Mrefu...!
Kama unajali kesho Yako na kuelekea uhuru wa kifedha basi suala la kuweka akiba ni lazima.
Lakini....
Kuna makosa ambayo wengi hufanya Katika uwekaji wa akiba zao na pengine na wewe unafanya.
Akiba ya malengo ya muda mrefu haipaswi kuwekwa kwenye;
1. Kibubu,
2. Taasisi za kibenki,
3. Chini ya godoro
4. Mitandao ya simu.
Unajiuliza kama sipaswi kuweka huku niweke wapi akiba zangu?
Swali zuri, ni hivi...
Weka akiba Yako kwenye;
1. Mifuko ya pamoja,
2. Hatifungani za serikali,
3. Hisa,
Hata hivyo kuelewa Kwa kina basi bofya link hapa chini sasahivi uanze kujifunza
Kama bado hujaanza kuweka akiba hujachelewa, Unaweza Kuanza Leo kujali kesho Yako kwa kuweka akiba