Podcast mahususi kujifunza mambo ya maendeleo binafsi (Personal development/Self-improvement), maisha, mahusiano, saikolojia na elimu ya fedha.
Ni podcast ya kipekee ambayo utajifunza mambo mengi ambayo yanatokea kwenye maisha yetu ya kila siku, kila kitu kinachozungumzwa hapa kina uhalisia na siyo nadharia ya kusadikika.
Kuwa sehemu ya familia hii na uhakika hautakuwa kama ulivyokuwa mwanzo, podcast ambayo itaboresha na kuongeza thamani ya maisha yako mara 10X au zaidi.
Hakikisha unafollow ili uwe wa kwanza kupata episode mpya kila wiki.
All content for Maisha Ni Kuthubutu Podcast is the property of Innocent Ngaoh and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Podcast mahususi kujifunza mambo ya maendeleo binafsi (Personal development/Self-improvement), maisha, mahusiano, saikolojia na elimu ya fedha.
Ni podcast ya kipekee ambayo utajifunza mambo mengi ambayo yanatokea kwenye maisha yetu ya kila siku, kila kitu kinachozungumzwa hapa kina uhalisia na siyo nadharia ya kusadikika.
Kuwa sehemu ya familia hii na uhakika hautakuwa kama ulivyokuwa mwanzo, podcast ambayo itaboresha na kuongeza thamani ya maisha yako mara 10X au zaidi.
Hakikisha unafollow ili uwe wa kwanza kupata episode mpya kila wiki.
Jinsi Ya KUJITAMBULISHA DM Au Kwenye Text Kwa Mara Ya Kwanza Unapomtafuta Mtu Yoyote.
Maisha Ni Kuthubutu Podcast
8 minutes 13 seconds
1 year ago
Jinsi Ya KUJITAMBULISHA DM Au Kwenye Text Kwa Mara Ya Kwanza Unapomtafuta Mtu Yoyote.
Kama wewe ni wale ambao unawatumia watu DM au text za kawaida Kwa Mara ya Kwanza kama vile "Niaje, Mambo, Vipi, Shwari Mkuu, Harakati Ni Vipi Kiongozi, Mrembo mambo n.k"
Tambua unakosea sana Tena sana hiyo siyo Kujitambulisha badala ni salamu tu.
Swali linakuja unajua jinsi ya Kujitambulisha mtu akiona DM au text Yako apate kuijibu bila kupuuzia.
Unahitaji kuzingatia maeneo matano wakati unamuandika Mtu DM Yako;
1. Jina la mtu unayemtumia ujumbe wako.
2. Jina lako.
3. Shughuli Yako.
4. Hitaji au shida Yako.
5. Hitimisho.
Ukizingatia mambo yote hayo DM zako zitajibiwa mpaka ushangae.
Kwa mfano...
"Habari kaka Amos Nyanda naitwa Innocent Ngaoh ni Mwandishi wa Vitabu pia ni mtengeneza maudhui ya mtandaoni ya kuelimisha jamii, nilikuwa naomba usaidizi ni wapi nitapata ujuzi wa copywriting Ili niwe Mwandishi mzuri wa Malala na Vitabu. Natanguliza shukurani."
Mfano wa DM hiyo akiona tu lazima atajibu, Kwa sababu Iko straight to the point.
Kujitambulisha ni Sanaa.
Ndiyo maana...
Una dakika nane za kujua Namna Rahisi ya Kujitambulisha Ili uwe GURU yaani gwiji.
Chukua hatua Sasa.