Katika episode hii mchungaji John Honore anafundisha namna ya kuishi maisha ya Uhuru. #UhuruWangu
Katika episode hii Najma anamhoji Bishop Deo Lubala, kuhusu tamaa za mwili katika ndoa. Fahamu namna ya kuushinda mwili ukiwa katika ndoa. Kwa maswali yoyote tafadhali tutumie ujumbe katika ukurasa wetu wa Instagram au Facebook " Word Alive Centre" .
Katika episode hii, Najma anamhoji Bishop Deo Lubala kuhusu kusubiri, Je vijana wanaweza kutoshiriki tendo la ndoa kabla ya ndoa? Wanawezaje? Sikiliza kufahamu zaidi. #waiting #sexbeforemarriage #nenohai #tamaa
Bishop Deo Lubala akifundisha katika kanisa la Free Church, Dar es Salaam - Tanzania.
Unawezaje kuwa na tumaini au furaha pale ambapo unamgojea Bwana kufanya au kujibu jambo flani?
Katika somo hili utafahamu namna ya kuambatanisha uvumilivu au subira katika imani yako.
If the son of man comes will He find you with faith? Bishop Deo Lubala dives deep into the importance of Faith in the times that we live in. And explains five factors of strong Faith. He delivered this message in Birmingham, Alabama at the Laborers of Christ ministry in January 2022.
Bishop Deo Lubala akihojiwa katika kipindi cha CLARENCE MEDIA , Seattle USA.
In this Episode, Bishop Deo answers believers' questions about the will of God, at the Oasis Church in Plano, Texas. Hosted by the resident pastor, Tumaini Ryoba November 28, 2021.
Katika Episode hii Bishop Deo Lubala anafundisha asili ya Mungu, Huruma na Rehema za Mungu. Ukijua Moyo wa Mungu itakusaida kumwamini Mungu.
Kwa msaada zaidi wasiliana nasi : +255 714 007700
Au fika kanisani Word Alive Centre - Kimara Baruti
Ijumaa - saa 11 jioni
Jumapili - Saa tatu asubuhi.
Sikiliza neno la unabii kwa ajili ya mwaka 2022, lilioachiliwa katika usiku wa ibada ya kufunga mwaka, na Bishop Deo Lubala.
Kwa msaada zaidi wasiliana nasi : +255 714 007700
Au fika kanisani Word Alive Centre - Kimara Baruti
Ijumaa - saa 11 jioni
Jumapili - Saa tatu asubuhi.
Bishop Deo Lubala akifundisha siri iliyofunuliwa kwa watu wamchao Mungu. Je siri hiyo ni nini? na wamchao ni watu gani? sikiliza na sambaza ujumbe huu kwa marafiki zako.
Kwa msaada zaidi wasiliana nasi : +255 714 007700
Au fika kanisani Word Alive Centre - Kimara Baruti
Ijumaa - saa 11 jioni
Jumapili - Saa tatu asubuhi.
Katika episode hii, Dr. Deo Lubala, anafundisha lugha inayompasa mwamini kuitumia.
Kwa msaada zaidi wasiliana nasi : +255 714 007700
Au fika kanisani Word Alive Centre - Kimara Baruti
Ijumaa - saa 11 jioni
Jumapili - Saa tatu asubuhi.
Sikiliza somo la maisha na maarifa likifundishwa na Dr. Deo Lubala.
Kwa msaada zaidi wasiliana nasi : +255 714 007700
Sikiliza somo la maisha na maarifa likifundishwa na Dr. Deo Lubala.
Kwa msaada zaidi wasiliana nasi : +255 714 007700
Sikiliza somo la maisha na maarifa likifundishwa na Dr. Deo Lubala.
Kwa msaada zaidi wasiliana nasi : +255 714 007700
Sikiliza somo la maisha na maarifa likifundishwa na Dr. Deo Lubala.
Kwa msaada zaidi wasiliana nasi : +255 714 007700
Sikiliza somo la Maisha na Maarifa likifundishwa na Bishop Deo Lubala.
Kwa msaada zaidi wasiliana nasi : +255 714 007700
Au fika katika ibada zetu za Ijumaa, Jumapili pale Kimara Baruti, Dar es salaam.