
Katika episode hii Najma anamhoji Bishop Deo Lubala, kuhusu tamaa za mwili katika ndoa. Fahamu namna ya kuushinda mwili ukiwa katika ndoa. Kwa maswali yoyote tafadhali tutumie ujumbe katika ukurasa wetu wa Instagram au Facebook " Word Alive Centre" .