
Katika Episode hii Bishop Deo Lubala anafundisha asili ya Mungu, Huruma na Rehema za Mungu. Ukijua Moyo wa Mungu itakusaida kumwamini Mungu.
Kwa msaada zaidi wasiliana nasi : +255 714 007700
Au fika kanisani Word Alive Centre - Kimara Baruti
Ijumaa - saa 11 jioni
Jumapili - Saa tatu asubuhi.