
Bishop Deo Lubala akifundisha siri iliyofunuliwa kwa watu wamchao Mungu. Je siri hiyo ni nini? na wamchao ni watu gani? sikiliza na sambaza ujumbe huu kwa marafiki zako.
Kwa msaada zaidi wasiliana nasi : +255 714 007700
Au fika kanisani Word Alive Centre - Kimara Baruti
Ijumaa - saa 11 jioni
Jumapili - Saa tatu asubuhi.