
Sikiliza neno la unabii kwa ajili ya mwaka 2022, lilioachiliwa katika usiku wa ibada ya kufunga mwaka, na Bishop Deo Lubala.
Kwa msaada zaidi wasiliana nasi : +255 714 007700
Au fika kanisani Word Alive Centre - Kimara Baruti
Ijumaa - saa 11 jioni
Jumapili - Saa tatu asubuhi.