Home
Categories
EXPLORE
True Crime
Comedy
Society & Culture
Business
Sports
History
News
About Us
Contact Us
Copyright
© 2024 PodJoint
00:00 / 00:00
Sign in

or

Don't have an account?
Sign up
Forgot password
https://is1-ssl.mzstatic.com/image/thumb/Podcasts113/v4/67/19/0b/67190b33-ae3e-05d6-228f-a5201a43b94b/mza_11980805724644357331.jpg/600x600bb.jpg
SAUTI-SIKIKA
Jeremiah Paul Wandili
10 episodes
1 day ago
Sauti iliyo ndani yako ina nguvu kuliko sauti nyingi zilizo nje yako. Kubali kusikiliza sauti yako ya ndani. Sauti ya ndani ina nguvu ya kuleta mabadiliko. Ipo nguvu ya ndani katika sauti yako.
Show more...
Relationships
Society & Culture
RSS
All content for SAUTI-SIKIKA is the property of Jeremiah Paul Wandili and is served directly from their servers with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Sauti iliyo ndani yako ina nguvu kuliko sauti nyingi zilizo nje yako. Kubali kusikiliza sauti yako ya ndani. Sauti ya ndani ina nguvu ya kuleta mabadiliko. Ipo nguvu ya ndani katika sauti yako.
Show more...
Relationships
Society & Culture
Episodes (10/10)
SAUTI-SIKIKA
Sauti Ya Matumaini-Amos Mwijonge.

Usipofuta kibao, huwezi jua kwanini gari la taka linaoshwa hili liweze kubeba taka tena. Maana cha muhimu kwetu sio miaka uliyoishi katika maisha yako, cha muhimu kwetu ni thamani ya maisha yako katika miaka uliyoishi. Kumbuka mito hainywi maji yake na miti haili matunda ya mti wake. Sikiliza sauti ya Amosi.... kumbuka hautakumbukwa kwa ulichojifunza, utakumbukwa kwa ulichofundisa wengine duniani. Fuatilia kazi nzuri za Amosi hapa Maisha ni mchezo wa kupona...... 

Show more...
5 years ago
4 minutes 24 seconds

SAUTI-SIKIKA
Sauti Ya Dr Mipango-Waziri wa Fedha na Mipango, Tanzania

Mh, Waziri Dr. Phillip Mipango, anasikika moja kwa moja kutoka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipaza sauti kulelezea Mpango wa Maendeleo wa Mwaka 2020/21 na hali ya Uchumi wakatika wa Bunge la Bajeti Tarehe 11/06/2020. Je, unajua sekta zenye kuwekewa kipaumbele kwa Mwaka 2020/21 na je, unajua #Covid19 imetikisa Uchumi... sikiliza upate kujua mpango wa Serikali katika kuimarisha Afya, Miundombinu, Elimu na Maendeleo kwa ujumla. 

Show more...
5 years ago
59 minutes 7 seconds

SAUTI-SIKIKA
Sauti Ya Joel Nanauka-Lijue Kusudi Lako

Kila siku unapo amka unapaswa kujiuliza maswali haya; Je, ni maswali gani na kuna sauti gani katika kujiuliza maswali hayo ili uweze kujua kusudi lako. Fuatilia Dakika 3 katika mfululizo wa Sauti Sikika, isikilize Sauti ya Joel Nanauka. Pia unaweza kumfuatilia Joel katika Mitandao ya Kijamii, Instagram; https://www.instagram.com/joelnanauka_/ na Facebook; https://web.facebook.com/jnanauka/ pia katika Channel yake ya Youtube; https://bit.ly/Joel-Nanauka-Youtube  

Show more...
5 years ago
3 minutes 33 seconds

SAUTI-SIKIKA
Sauti Ya Theresia- Sauti yake akizungumzia Mabadiliko Chanya wakati wa Covid-19.

Theresia anasimulia namna ambavyo Covid19 imekuwa ni changamoto chanya kwake. Maana Theresia amechukulia covid19 katika uhalisia wake zaidi yeye alijiepusha kuishi kwa hofu. Anasisitiza umuhimu wa kuchukua tahadhali na kufuata maelekezo ya wataalamu wa Afya. Amezungumza mengi, ikiwemo swala zima la kujenga mahusiano mazuri na familia, kutumia muda mzuri pia kujiendeleza. Hongera sana Theresia kwa Sauti yako katika Mabadiliko Chanya. Kumbuka unaweza kushare Sauti yako kwa namba +255758044443. 

Show more...
5 years ago
20 minutes 54 seconds

SAUTI-SIKIKA
Sauti Ya Mabadiliko

Unajua, mabadiliko ni mchakato, ni hatua.. lakini je unajua Mabadiliko ni gharama? na ili kufikia mabadiliko lazima ulipe gharama. Podcast hii inakupa nafasi ya kufahamu sauti ya mabadiliko ili uweze kujiandaa kuisikiliza na kulipa gharama katika kufikia mabadiliko. Ahsante sana, karibu. Tuma maoni yako na sauti yako ya Mabadiliko katika namba hii ilisajiliwa Whats App +255758044443 nasi tutashare podcast yako. Ahsante sana, furahi sauti ya mabadiliko.  

Show more...
5 years ago
25 minutes

SAUTI-SIKIKA
Sauti Ya Sheila-Changamoto za Kutafuta Ajira kipindi cha #Covid-19

Unajua changamoto wanazopitia wasichana katika kutafuta Kazi pindi tu wakiwa wametoka Chuo? Aiseee ni kisanga, msikilize Sheila hapa akipaza Sauti katika Mtaa huu #Sauti-Sikika hautojutia mazee..... 

Show more...
5 years ago
14 minutes 17 seconds

SAUTI-SIKIKA
Sauti Ya Husna-Sikiliza Sauti ya Muda

Katika mfululizo wa kukusanya SAUTI-SIKIKA, tunaisikiliza Sauti ya Husna, akituelezea umuhimu wa kuisikiliza sauti iliyo ndani ya Muda. Je wajua Muda una-ongea, na je, wajua Muda una Sauti. Karibu kusikiliza..... Uache Muda uongee! 

Show more...
5 years ago
2 minutes 12 seconds

SAUTI-SIKIKA
Sauti Ya Balozi Angelo-Vijana na UKIMWI

Balozi anasema, UKIMWI-Umekaa kimya, lakini upo... anawaomba Wazazi, walezi, mashirika yasiyo ya kiserikali kuchukua hatua za kuwapa Vijana Fursa hili SAUTI ZAO zisikike katika Mapambano dhidi ya UKIMWI. Msikilize Balozi katika leo; SAUTI-SIKIKA. 

Show more...
5 years ago
4 minutes 14 seconds

SAUTI-SIKIKA
Sikiliza Sauti Ya Ndani-Sauti Ya Sophie

Rafiki, karibu katika mfululizo wa Sauti Sikika. Msikilize Mgeni Sophie akizungumza nawe. Ni kweli watu wengi wanatamani kujua namna wanavyoweza kuisikiliza na kuitii sauti yao ya ndani. Sasa utawezaje kujua ni wakati sahihi kwa Sauti ya Ndani kusikika. Sikiliza Sauti ya Sophie akikuelezea namna anavyofanya kuisikiliza sauti yake ya ndani. Ahsante sana. 

Show more...
5 years ago
2 minutes 22 seconds

SAUTI-SIKIKA
Karibu-Sauti Sikika

Ni muhimu sana kutambua Sauti iliyo ndani yako. Kazi kubwa ni kuhakikisha unatoa nafasi ya kuamini na kuisikiliza Sauti iliyo ndani yako. 

Show more...
5 years ago
3 minutes 5 seconds

SAUTI-SIKIKA
Sauti iliyo ndani yako ina nguvu kuliko sauti nyingi zilizo nje yako. Kubali kusikiliza sauti yako ya ndani. Sauti ya ndani ina nguvu ya kuleta mabadiliko. Ipo nguvu ya ndani katika sauti yako.