
Rafiki, karibu katika mfululizo wa Sauti Sikika. Msikilize Mgeni Sophie akizungumza nawe. Ni kweli watu wengi wanatamani kujua namna wanavyoweza kuisikiliza na kuitii sauti yao ya ndani. Sasa utawezaje kujua ni wakati sahihi kwa Sauti ya Ndani kusikika. Sikiliza Sauti ya Sophie akikuelezea namna anavyofanya kuisikiliza sauti yake ya ndani. Ahsante sana.