Home
Categories
EXPLORE
True Crime
Comedy
Business
Society & Culture
Sports
Health & Fitness
Technology
About Us
Contact Us
Copyright
© 2024 PodJoint
Loading...
0:00 / 0:00
Podjoint Logo
US
Sign in

or

Don't have an account?
Sign up
Forgot password
https://is1-ssl.mzstatic.com/image/thumb/Podcasts116/v4/26/61/ec/2661ecca-8763-56a6-6c88-f72a01c3ce7d/mza_510951310393328148.jpg/600x600bb.jpg
LOVE UNTOLD PODCAST
love untold podcast
64 episodes
3 days ago
"Love Untold (Jesus Love)" is a podcast that explores the transformative power of Jesus' love in our lives. Hosted by passionate speakers it features personal testimonies and scripture-based teachings to provide practical insights and inspiration for those seeking to deepen their experience of Jesus' love. Join us on this journey of discovering the untold love of Jesus.
Show more...
Christianity
Religion & Spirituality
RSS
All content for LOVE UNTOLD PODCAST is the property of love untold podcast and is served directly from their servers with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
"Love Untold (Jesus Love)" is a podcast that explores the transformative power of Jesus' love in our lives. Hosted by passionate speakers it features personal testimonies and scripture-based teachings to provide practical insights and inspiration for those seeking to deepen their experience of Jesus' love. Join us on this journey of discovering the untold love of Jesus.
Show more...
Christianity
Religion & Spirituality
Episodes (20/64)
LOVE UNTOLD PODCAST
COMMUNICATION BEFORE COVENANT

Communication Before Covenant: Because two cannot walk together unless they agree (Amos 3:3).


Marriage is a covenant, not a contract and preparation goes deeper than the wedding day. In this episode, we dive into the crucial conversations every couple must have before saying “I do.”


We explore:

• Faith and religious beliefs

• Handling conflicts with grace

• Family roles and expectations

• Setting marriage boundaries (including infidelity)

• Sex and intimacy

• Money matters and financial alignment


This isn’t about fear it’s about building a foundation of agreement, clarity, and intentional love. Tune in and discover how to walk into marriage with eyes open, hearts aligned, and a covenant that lasts.

Show more...
2 weeks ago
1 hour 16 minutes 39 seconds

LOVE UNTOLD PODCAST
KINGDOM DATING INTRO

Welcome to the Kingdom Dating Series!


Let's walk together on this amazing journey of discovery unpacking the sides of ourselves and relationships that we may not have explored yet. This is not just about dating, but about learning, growing, and walking in God's kingdom principles for love and relationships.


We invite you to join Robin and Ruth as we learn, share, and grow together in this exciting series.


* Don't forget to leave us a message with your thoughts, experiences, or questions because this journey is better when we do it together.


Kingdom Dating Series - Building love, faith, and purpose.


Show more...
3 weeks ago
47 minutes 2 seconds

LOVE UNTOLD PODCAST
A TRUE FRIEND

Rafiki hupenda sikuzote; Na ndugu amezaliwa kwa ajili ya taabu.” (Methali 17:17)

Mtu aliye na rafiki nyingi hujiangamiza; Bali iko rafiki aambatanaye na mtu kuliko ndugu.”

Show more...
4 months ago
3 minutes 16 seconds

LOVE UNTOLD PODCAST
WOMAN LIKE DORCAS

Mwanamke kama dorcas ni mwenye huruma. Mwenye kutumia kila alicho nacho kwenye mazingira yake kupambania mambo yaweze kukaa sawa katika jamii yake. Mwanamke kama dorcas ni yule ambaye hasubiri kuambiwa atende wema ni mwanamke anayeinuka na kufanya wema kwa wengine kama mwanamke shujaa katika jamii anayoishi. Ni muda sasa wanawake kuwa na moyo wa kujitoa na kusaidia wale wasiojiweza katika jamii.

Show more...
6 months ago
1 hour 37 seconds

LOVE UNTOLD PODCAST
NGUVU YA MSAMAHA

Kuna nguvu kubwa kwenye kusamehe, na kusaau na Mungu anasema ili yeye atusamehe lazima na sisi tuwa samehe wale walitukosea. Mtumishi wa Mungu kaka Erick anatupa insights ya nguvu ya msamaha kuna nini nyuma ya kuomba au kutoa msamaha kwa mtu aliyekukosea.

Show more...
7 months ago
48 minutes 56 seconds

LOVE UNTOLD PODCAST
Secret behind prayers

Karibu tusikilize kwa pamoja kipindi cha Bongo gospel leo na kujifunza mengi juu ya maombi na kwa nini tuombe wakati Mungu anajua na kufahamu haja za mioyo yetu. Na nini kipo nyuma ya maombi

Show more...
7 months ago
1 hour 51 minutes 35 seconds

LOVE UNTOLD PODCAST
Why Do we fast

Hello family karibu sana kwenye kipindi hiki cha bongo gospel. Hapa tutakuwa tunapata baraka ya top ten ya bongo gospel pia tutakuwa tunapata kusikia neno la siku na shuhuda yani God and I karibu this show goes live hapa love untold podcast and mtawala radio kila siku za jumamosi kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 4 asubuhi

Show more...
8 months ago
1 hour 48 minutes 14 seconds

LOVE UNTOLD PODCAST
THE LAST DANCE

Mipango yetu ya kimwili ni muhimu lakini mipango yetu ya kiroho ni muhimu zaidi tunapo enda kuanza mwaka 2025 hakikisha umeandaa vizuri mipango yako ya kiroho kwa ajili ya mwaka 2025 ili Mungu akakusimamie katika mipango yako ya kimwili. Kwenye episode hii ya 10 na ya mwisho kwa mwaka huu 2024 utapata kufahamu mambo ya kufanya ya kiroho kujiandaa kuingia 2025. mungu akubariki na ukawe na usikilizaji mzuri

Show more...
9 months ago
12 minutes 50 seconds

LOVE UNTOLD PODCAST
Formula ya mafanikio ni ipi?

In this episode, we dive into the ultimate formula for success: a powerful combination of hard work (juhudi), integrity (uaminifu), and meaningful connections. Join us as we explore how these elements, along with a growth mindset and faith in God’s grace, can lead to lasting success. Tune in for practical insights and biblical wisdom to help you unlock your full potential and thrive in every area of life.

Show more...
10 months ago
26 minutes 52 seconds

LOVE UNTOLD PODCAST
HOFU YA MUNGU INAYO AMBATANA NA KUMCHA BWANA

Ukisema una hofu ya Mungu lazima iambatane na kumcha Mungu karibu tupokee neno la uzima toka kwa man of God lwitiko

Show more...
10 months ago
18 minutes 40 seconds

LOVE UNTOLD PODCAST
Baraka zako zikufikie kwa wakati
Ni maombi ya kutoka moyoni kwamba Baraka za Mungu zitakufikia wakati unaofaa, kulingana na wakati wake kamili. Inaelezea hamu ya kuwa na imani na uaminifu katika mpango wa Mungu na utambuzi kwamba Baraka zake daima huwa za wakati nainazotimiza. Mathayo 11:12
Show more...
1 year ago
32 minutes 32 seconds

LOVE UNTOLD PODCAST
MY PRIVACY
Kutengeza faragha na Mungu ni sehemu ya maisha ya mkristo na itakusaidia kujenga uhusiano mzuri na wa karibu na Mungu
Show more...
1 year ago
25 minutes 21 seconds

LOVE UNTOLD PODCAST
INTIMATE WITH CHRIST
The Intimate with Christ podcast episode explores the topic of intimacy with God by drawing parallels with intimate human relationships. Listeners will gain a deeper understanding God's desire for genuine, vulnerable, and passionate connection with His people. The podcast delves into the importance of trust, communication, vulnerability, and commitment in building a strong, fulfilling with God. The host also shares personal experiences of intimate moments with Christ and offers practical tips on how to grow in intimacy with God. This episode is a must-listen for anyone seeking to deepen their spiritual connection and experience the fullness of God's love.
Show more...
1 year ago
40 minutes 24 seconds

LOVE UNTOLD PODCAST
DINI ILIYOSAFI
This podcast episode is about the concept of unblemished religion in James 1:27. We will discuss what means and how it relates to our daily lives as Christians, including caring for the and staying pure from worldly influences.
Show more...
1 year ago
34 minutes 40 seconds

LOVE UNTOLD PODCAST
A nazarite of today
21st century nazarites are called into “holiness” a life of separation from the world. Holiness in simple terms means Obidience to God. 1peter 1:15-16
Show more...
1 year ago
35 minutes 56 seconds

LOVE UNTOLD PODCAST
What do you seek first in life?
As a Christian, we seek to know and fulfill God's purpose for our lives, grow in our relationship with Him and more like Christ, serve others selflessly, share the gospel, and make a positive impact in the world. Our desire is to honor and glorify God in all that we do and fulfill the purpose He has for us.
Show more...
1 year ago
13 minutes 53 seconds

LOVE UNTOLD PODCAST
SHUKRANI YA PUNDA MATEKE
Ibada ya Tarehe 21/1/2024 Sermon Summary Mch: Ephraim Mbila. 1Samweli 25 Habari ya Nabali. Somo: Shukurani ya Punda ni Mateke. Nabali alikua ana mifugo yapatayo 4,000 na wachungaji. Daudi alipokua eneo alilokua akifanya machungi aliweza pia kufanyika ulinzi wa mifugo yake pamoja na wachungaji wa mifugo yake. Maana ya jina Nabali - mtu Mpumbavu “a Fool”. Ijapokua alikua na mali nyingi lakini alikua mtu muovu,aliyekosa adabu. Ijapokua ni mtu mpumbavu na muovu Alipata mke mzuri Abigail -maana ya jina lake “furaha ya baba yake.” Abigail aliutambua udhaifu wa mume wake na kwa hekima aliufunika. Katika habari iliyo katika kitabu hiki, Inafika kipindi cha Mavuno kwa Nabali na Daudi awatuma vijana wake kwa Nabali kwamba aweze kumpa chochote kwa ajili ya jeshi lake na yeye. Majibu ya Nabali yatoka kwa kiburi na yenye jeuri na anasisitiza kua hamtambui Daudi, wala kazi ile ya ulinzi Daudi na Jeshi lake waliofanya kwa mifugo na wachungaji wake. Tutafakari Mungu anapokuja kwetu na yeye ndiye aliyetupa yote tulionyayo si kwa kustahili bali kwa neema yake. Je tunajibu nini? Mfano:(Mafuriko haya yaliyoleta maafa makubwa na upotevu wa maisha je ni nini cha ziada tulichofanya kustahili kua salama?) Ni wachache huingia kwenye maombi kuomba walivyonavyo iwe ni watoto,ni kazi ni elimu. Je ni kweli kwamba vyote tuliomba kwa Mungu ndio maana amekupa au Je ni kweli kua vingi ambavyo tunavyo tumejikuta tumevipata. Ni kweli pia kua kuna ambavyo tumeomba na hatujapata kwa kua tunaomba vibaya kwa ajili ya tamaa zetu wenyewe. Ila ni mengi Mungu hututendea na bado tumekua wenye kiburi kutambua ya kua vyote tulivyo navyo ni kwa utukufu wake. Mfano wa mchungaji: “Nimepaki V8 nje ya kanisa ili kila atakaeulizwa ajibiwe ni la Mch: Mwakajangwa , wanikome na waniheshimu” Bila Mkono wa Mungu aliye Hai haiwezekani kufanikiwa. Si kwa ujuzi wala uwezo tulionao tusiwe wapumbavu kama Naabali “a fool” Je Tunajibu nini tunapotakiwa kuwatunza watumishi wa Bwana? Hua tunajibu nini? Tumeongea maneno ya jeuri na maneno magumu kwa watu. Kama nabali tumejibu majibu magumu na yasiyofaa mbele za Mungu. Jibu la Daudi; Anachukua Silaha na jeshi zima kwenda kumaliza familia ya nabali wala hakuna ataesalia. Ni kwa kiburi chake ameleta uangamivu kwenye familia yake. Japo Abigail kwa hekima aliweza kuzuia hilo Nabali alikufa kwa ugonjwa wa moyo. Siri kubwa ni mkono wa Mungu kwenye maisha yetu unapotoweka basi shetani huchukua nafasi. Mungu ni Mungu mwenye hasira ingawa biblia inasema si mwepesi wa Hasira bali ni mwingi wa rehema. Tusiwe kama Nabali mpumbavu na kupelekea Mungu kuchukua kiti cha hukumu kwenye maisha yetu. Neno la Mungu ni amri, maneno ya Mungu ni maagizo ni katika utii ndipo tutaweza kutenda sawa sawa. Tafakari Je yawezekanaje mtu kulalamika wazi juu ya maombi kanisani? Je yawezekanaje mtu kupinga waziwazi ajenga za Mungu kanisani hasa juu ya utoaji? -“Kwanini tutoe ujenzi?” “Kwanini tutunze madhabahu?” “Kwanini tuchangie wagonjwa?” “Kwanini huu msiba tuchange?” Maombi ni muhimiri wa kanisa , ni vyema kua na akili na kutambua hawa watu wenye maswali yapingayo agenda za Kimungu ni chanzo cha uharibifu kanisa, Na kama “upumbavu” wa Nabali kupeleka anguko letu. Luka 7:1-10 Habari ya akida aliyepata uponyaji kwasababu ya mema aliyofanya kwa taifa la israel na ujenzi wa Sinagogi. Funzo: katika kutoa kwake aliweza kupata kibali cha kusikilizwa na habari yake kufikishwa kwa Yesu na kupata uponyaji. Kuelekea sikukuu ya uwakili tukaseme Mungu asante kwa yote aliyotupa na tukatoe sawasawa na uaminifu wetu kwa Mungu. Tuachane na uoga wa maisha haya vinywa vyetu visiwe vyepesi kutamka madhaifu “Januari ni mwezi dume” tukiri maneno ya Mungu wakati wote bila kuangalia mazingira. Mwanakondoo Ameshinda.
Show more...
1 year ago
17 minutes 38 seconds

LOVE UNTOLD PODCAST
GOD AS A SHEPHERD
Unapo kuwa unasoma zaburi ya 23 usisome kama kawaida ya kusoma kwako bali isome zaburi ya 23 kama kondoo ambaye ana muomba mchungaji wake ambaye ni Bwana Mungu wetu awe kiongozi katika maisha yake siku zote bila kukata tamaa... ukiamini kwamba Bwana ni mchungaji wako basi kubali kuchungwa naye na kwenda pale anapo kuelezeka. Karibu usikilize ujumbe huu Mungu amelenga ukufikie wewe hapo ndio wewe hapo
Show more...
1 year ago
19 minutes 16 seconds

LOVE UNTOLD PODCAST
MIMI NIPUNGUE by Mwl Onorodgers
MIMI NIPUNGUE WEWE UONGEZEKE Yohana 3:25 Basi palitokea mashindano ya wanafunzi wa Yohana na Myahudi mmoja juu ya utakaso. 26 Wakamwendea Yohana, wakamwambia, Rabi, yeye aliyekuwa pamoja nawe ng’ambo ya Yordani, yeye uliyemshuhudia, tazama, huyo anabatiza na watu wote wanamwendea. 27 Yohana akajibu, akasema, Hawezi mtu kupokea neno lo lote isipokuwa amepewa kutoka mbinguni. 28 Ninyi wenyewe mwanishuhudia ya kwamba nalisema, Mimi siye Kristo, bali nimetumwa mbele yake. 29 Aliye naye bibi arusi ndiye bwana arusi; lakini rafiki yake bwana arusi, yeye anayesimama na kumsikia, aifurahia sana sauti yake bwana arusi. 30 Basi hii furaha yangu imetimia. Yeye hana budi kuzidi, bali mimi kupungua. =>Haya maneno inawezekana tumewahi kuyasema mara kadhaa kumwambia YESU aongezeke na sisi tupungue.... Au mara nyingine tumetumia maneno haya “YESU jitwalie utukufu na mimi sichukui hata chembe ya utukufu Mambo gani ya kujifunzaa? 1)-YESU anapochukua nafasi ni kweli kila kitu kinabadilika; yaani unapompatia yeye nafasi ni lazima utegemee mabadiliko 2)Lazima uwe tayari kwa hayo mabadiliko yatakayo mpatia yeye kuongezeka na wewe kupungua =>Tunafikiri kuongezeka ni lazima iwe imetokea ndani yetu na kumbe si hivyo anaweza akaongezeka lakini si kupitia wewe hapo ofisini,hapo kazini,hapo mtaani au kwenye hiyo huduma.Ila wewe hauko tayari Mfano; unampa YESU KRISTO nafasi hapo kazini kwenu na unaingia kwenye maombi ya mzigo sana juu ya changamoto mnayoipitia hapo ofisini au kwenye huduma au biashara,na saa nyingine anakupa hata maelekezo ya namna ya kuomba na hata SADAKA ya kutoa....... Halafu kweli anaingilia kati yeye YESU na kuondoa ile shida lakini sifa anapewa kiongozi wako na si wewe, Sifa anapewa yule mwenzio ambaye ni mtesi wako hapo ofisini na si wewe, Sifa anapewa yule mpinzani wako kwenye fellowship na si wewe, Nini nachotaka tujifunze? Ni kweli YESU KRISTO anaweza kuongezeka na wewe ukapungua ila hatukotayari kuona hilo maana ndani yetu bado kuna roho ya mashindano na sio roho ya kuujenga ufalme wa MUNGU tunataka YESU aongezeke na sisi tuongezeke hapo hapoo KWANINI NI MUHIMU KUELEWA JAMBO HILI? 1)-Kazi ya MUNGU acha ibaki kuwa ya MUNGU ni sio yakwako hata kama MUNGU alikutumia kwa machozi na gharama kubwa hapo kabla wakati haionekani.... Ikishatimia na kuonekana unaweza hata usitambulike au kutambulishwa jinsi ulikuwa na bidii na hiyo kazi KISIKUMBUE mwachie mwenye kazi aongezeke wewe upungue Saa nyingine utasemwa kwa aibu ili uondolewe hashima yote na kufedheheshwa kabisaa...ZIDI KUPUNGUA ILI YEYE AONGEZEKE Unaweza kujiuliza swali kwanini YESU KRISTO aruhusu hivyo? JIBU;Kunawakati YESU KRISTO anatako uondoke kwenye picha,sport light (mstari wa mbele) ili aendelee kukutumia vyemaa. Unaweza usijue lakini kupungua kwako ndio njia YESU KRISTO ameitumia kukuondoa kwenye kisasi cha adui baada ya hiyo kazi MUNGU alikutumia.....saa nyingine ni yeye amekuficha ACHA WAONEKANE WENGINE wewe baki ukimtukuza YESU KRISTO
Show more...
2 years ago
23 minutes 39 seconds

LOVE UNTOLD PODCAST
LET GOD BE YOUR ALPHA AND OMEGA IN YOUR RELATIONSHIP
In this podcast episode, the importance of having God as the center of a romantic relationship is discussed. By relying on His guidance and grace, couples can strengthen their love for each other and build a strong foundation for their future together. The episode encourages listeners to prioritize their relationship with God in order to foster a healthy and lasting relationship with their partner.
Show more...
2 years ago
29 minutes 51 seconds

LOVE UNTOLD PODCAST
"Love Untold (Jesus Love)" is a podcast that explores the transformative power of Jesus' love in our lives. Hosted by passionate speakers it features personal testimonies and scripture-based teachings to provide practical insights and inspiration for those seeking to deepen their experience of Jesus' love. Join us on this journey of discovering the untold love of Jesus.