
Mwanamke kama dorcas ni mwenye huruma. Mwenye kutumia kila alicho nacho kwenye mazingira yake kupambania mambo yaweze kukaa sawa katika jamii yake. Mwanamke kama dorcas ni yule ambaye hasubiri kuambiwa atende wema ni mwanamke anayeinuka na kufanya wema kwa wengine kama mwanamke shujaa katika jamii anayoishi. Ni muda sasa wanawake kuwa na moyo wa kujitoa na kusaidia wale wasiojiweza katika jamii.