Kwa mwaka huu kuna watumiaji wengi wa mitandao ya kijamii wameongezeka, na watu wengi wanafikiria kufanya biashara zao na kuzikuza kutokana na uwepo wa mitandao hii. Je kwa vijana ni nini ambacho tunapaswa kutegemea mwaka huu? Facebook, Twitter, n.k wanategemea kuleta features/vitu gani vipya kwa kukuza mitandao yao?
Fuatilia hii katika Episode hii na utaona kuna mengi ambayo yametokea na kutazama mipango mbalimbali ambapo inaweza kukusaidia wewe kijana.
Karibu sana.
Usisahau ku-subscribe our best poooooodcast!!!!!!11
Show more...