All content for Kenedy The Remedy Podcast is the property of Kenedy The remedy and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
EP 10: Usichukulie Mambo kwa Urahisi by Kenedy The remedy
Katika dunia ya sasa ya mitandao ya kijamii, kuna mengi sana yanaendelea kuhusiana na siasa. Pia vijana wengi wamekuwa wakitumia mitandao ya kijamii kujifunza mengi yanayojiri na kutoa uhuru wa mawazo yao. Ni tofauti na miaka ya zamani ambapo watu walikuwa hawana mitandao hii ya kijamii.
Kuna mengi ya kuona kwa sasa, kutazama jinsi vijana wanavyotumia mitandao na kujifunza mengi kupitia kizazi cha sasa. Fuatilia podcast hii kuona kujua zaidi.
Kenedy The Remedy Podcast
EP 10: Usichukulie Mambo kwa Urahisi by Kenedy The remedy