Home
Categories
EXPLORE
True Crime
Comedy
Business
Society & Culture
Health & Fitness
Sports
Technology
About Us
Contact Us
Copyright
© 2024 PodJoint
00:00 / 00:00
Podjoint Logo
US
Sign in

or

Don't have an account?
Sign up
Forgot password
https://is1-ssl.mzstatic.com/image/thumb/Podcasts126/v4/47/0c/01/470c0126-4649-b59e-5108-e12622904785/mza_15973445763558680923.jpg/600x600bb.jpg
Radio Maria Tanzania
Radio Maria Tanzania
300 episodes
1 week ago
Haraka sana ilienea kote Italia, tayari katika miaka ya 90, uzoefu huu wa kipekee wa redio uliamsha shauku katika sehemu zingine za ulimwengu. Baadaye, kila mara chini ya uelekezi na usaidizi wa Radio Maria Italia, Radio Maria nyingine iliibuka Amerika (kuanzia na Peru), Afrika (kwanza Burkina Faso), sehemu nyingine za Ulaya… na hivyo Familia ya Ulimwengu ya Radio Maria ilizaliwa mnamo Juni 1998, na kuwa NGO inayotambuliwa na UN, yenye makao makuu ya kisheria huko Roma. Madhumuni yake ni kuendeleza mradi wa kimisionari, kujibu maombi yanayotoka katika maeneo yote ya dunia, kuhakikisha uhalisi wa chapa, kutoa usaidizi wa kiufundi kwa RM zote, na kukuza mabadilishano na usaidizi kati ya kila redio.

Familia ya Ulimwengu inadumisha mahusiano ya mara kwa mara ya taarifa na Baraza la Kipapa la Mawasiliano ya Kijamii la Kiti Kitakatifu
Show more...
Religion & Spirituality
RSS
All content for Radio Maria Tanzania is the property of Radio Maria Tanzania and is served directly from their servers with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Haraka sana ilienea kote Italia, tayari katika miaka ya 90, uzoefu huu wa kipekee wa redio uliamsha shauku katika sehemu zingine za ulimwengu. Baadaye, kila mara chini ya uelekezi na usaidizi wa Radio Maria Italia, Radio Maria nyingine iliibuka Amerika (kuanzia na Peru), Afrika (kwanza Burkina Faso), sehemu nyingine za Ulaya… na hivyo Familia ya Ulimwengu ya Radio Maria ilizaliwa mnamo Juni 1998, na kuwa NGO inayotambuliwa na UN, yenye makao makuu ya kisheria huko Roma. Madhumuni yake ni kuendeleza mradi wa kimisionari, kujibu maombi yanayotoka katika maeneo yote ya dunia, kuhakikisha uhalisi wa chapa, kutoa usaidizi wa kiufundi kwa RM zote, na kukuza mabadilishano na usaidizi kati ya kila redio.

Familia ya Ulimwengu inadumisha mahusiano ya mara kwa mara ya taarifa na Baraza la Kipapa la Mawasiliano ya Kijamii la Kiti Kitakatifu
Show more...
Religion & Spirituality
Episodes (20/300)
Radio Maria Tanzania
Je, ni halali kiongozi wa Kanisa kujihusisha na Siasa?
Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, leo tunaungana na Frater Daud Fungameza kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo Kuu Katoliki Songea, akijibu swali la msikilizaji linalosema Kanisa au kiongozi wa Kanisa kujihusisha na harakati za kisiasa au chama cha kisiasa inaruhusiwa?
Show more...
1 week ago
28 minutes 6 seconds

Radio Maria Tanzania
Fahamu historia ya neno Misa
Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani, leo tunaungana na Frater Daud Fungameza kutoka Seminari  Kuu ya Mtakatifu Augustino  Peramiho Jimbo Kuu Katoliki Songea, akijibu swali la msikilizaji linalosema neno Misa lilianza kutumika lini? 
Show more...
1 week ago
27 minutes 17 seconds

Radio Maria Tanzania
Fahamu sababu 10 za kuzaa mtoto mwingine
Karibu uungane nami  Joyce Jonatus katika kipindi cha Pro Life Utetezi wa Uhai, mwezeshaji ni Godfly Mkaikuta, akitufundisha juu ya sababu 10 za kuzaa mtoto mwingine 
Show more...
1 week ago
57 minutes 55 seconds

Radio Maria Tanzania
Fahamu majukumu na wajibu wa Mlei?
Karibu uungane nami Martin Joseph katika kipindi cha Utume wa Walei, mwezeshaji ni Bi. Rose Gerald Katibu wa Kamati ya Uinjilishaji Jimbo Kuu Katoliki Dar Es Salaam, akitufundisha juu ya wajibu wa Walei na majukumu yao. 
Show more...
1 week ago
56 minutes 19 seconds

Radio Maria Tanzania
Je, unafahamu sifa ya Mama Bikra Maria Malkia wa Imani?
Karibu katika kipindi cha Tafakari Nasi, leo tunaungana na Padre  Gidion Kitamboya kutoka Parokia ya Mtakatifu Luka Mwinjili Hembahemba Jimbo Kuu Katoliki Dodoma, akitufundisha juu ya Bikra Maria Malkia wa Imani.
Show more...
1 week ago
26 minutes 9 seconds

Radio Maria Tanzania
Je, unafahamu maisha ya Mtakatifu Bartolongo?
Karibu uungane nami Martin Joseph katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi,Mwezeshaji ni Padre Dominic Mavula {C.PP.S}, Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria Tanzania, akitufundisha juu ya maisha ya Mtakatifu mpya Mtakatifu Bartolongo.
Show more...
1 week ago
57 minutes 58 seconds

Radio Maria Tanzania
Nena nami Bwana Dominika ya 29 ya mwaka C wa Kanisa.
Karibu uungane nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Nena nami Bwana, ikiwa ni mafundisho kutoka kwa Mababa wa Kiroho kwa namna ya kipekee wanaonene nasi siku hii ya leo ni Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa, Askofu Mkuu Jimbo Kuu Katoliki Tabora, Mhashamu Tarcisius Ngalalekumtwa, Askofu Mstaafu wa Jimbo Katoliki Iringa, Askofu Christopher Ndizeye wa  Jimbo Katoliki […]
Show more...
1 week ago
57 minutes 9 seconds

Radio Maria Tanzania
Amka na Mama kipindi cha Kawaida cha mwaka {sehemu ya tisini na nane}
Ungana nami Martin Joseph katika kipindi cha Amka na Mama ikiwa ni mkusanyiko wa nyimbo mbalimbali za kuanzisha siku ya Bwana, hakika kuimba ni kusali mara mbili njooni tumwimbie Bwana katika Roho na kweli.
Show more...
1 week ago
57 minutes 58 seconds

Radio Maria Tanzania
Amka na Mama kipindi cha kawaida cha mwaka {sehemu ya tisini na saba}
Ungana nami Martin Joseph katika kipindi cha Amka na Mama ikiwa ni mkusanyiko wa nyimbo mbalimbali za kuanzisha siku mpya ya Bwana, hakika ni kusali mara mbili njooni tumwimbie Bwana katika Roho na kweli. 
Show more...
1 week ago
57 minutes 38 seconds

Radio Maria Tanzania
Amka na Mama kipindi cha kawaida cha mwaka {sehemu ya tisini na sita}
Ungana nami Martin Joseph katika kipindi cha Amka na Mama ikiwa ni mkusanyiko wa nyimbo mbalimbali za kuanzisha siku mpya ya Bwana, hakika kuimba ni kusali mara mbili njooni tumwimbie Bwana katika Roho na kweli.  
Show more...
1 week ago
56 minutes 58 seconds

Radio Maria Tanzania
Fahamu heri za Utakatifu katika maisha ya Mwanadamu
Karibu uungane nami Peter katika kipindi cha Fahamu wito wako, mwezeshaji Padre Innocent Bahati Mushi kutoka Chuo Kikuu cha Nelson Mandela Jimbo Kuu Katoliki Arusha, akitufundisha juu ya Heri za utakatifu furahini na kushangilia.
Show more...
1 week ago
50 minutes 7 seconds

Radio Maria Tanzania
Je, Unazifahamu changamoto za mlango wa nyumba aminifu?
Karibu uungane nami Martin Joseph katika kipindi cha Familia Bora na Nyumba Aminifu, Wawezeshaji ni Katekisita Castory Matimla, Benedict Kessy, Monica Kessy na Paschal Maziku kutoka Familia ni Nyumba Aminifu, wakitufundisha juu ya mlango wa nyumba aminifu na changamoto zake.
Show more...
1 week ago
51 minutes 2 seconds

Radio Maria Tanzania
Unafahamu sababu zinazosababisha kupata ugongwa wa mtoto wa Jicho?
Karibu uungane nami Happiness Mlewa, katika kipindi cha Ijue Afya yako, mwezeshaji wa kipindi ni Daktari Catherine Mlale kutoka Hospitali ya Mtakatifu Fransisko wa Asizi Ifakara, Jimbo Katoliki Ifakara, akitufundisha juu ya ugonjwa wa mtoto wa Jicho.
Show more...
2 weeks ago
44 minutes 4 seconds

Radio Maria Tanzania
Je, unaufahamu ujumbe wa Amani wa Papa Benedict wa 15?
Karibu uungane nami Martin Joseph katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji Padre Dominic Mavula C.PP.S,  Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria Tanzania, akitueleza juu ya ujumbe wa Amani wa Papa Benedict wa 15  
Show more...
2 weeks ago
57 minutes 28 seconds

Radio Maria Tanzania
Fahamu ujumbe wa amani wa Mama Bikira Maria kwa wanadamu?
Karibu uungane nami Happiness Mlewa Katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji Padre Dominic Mavula C.PP.S,  Mkurugenzi wa Matamgazo Radio Maria Tanzania, akitufundisha juu ya  ujumbe wa Mama Bikira Maria kuhusu Amani.
Show more...
2 weeks ago
54 minutes 46 seconds

Radio Maria Tanzania
Ifahamu Dominika ya Kimisionari na umuhimu wake?
Karibu uungane nami Happiness Mlewa katika kipindi kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania {TEC},  Mwezeshaji Padre Alfred Kwene, akitufundisha juu ya Dominika ya Kimisionari 2025 na wajibu wetu sisi Waamini.
Show more...
2 weeks ago
44 minutes 27 seconds

Radio Maria Tanzania
Je, unaufahamu ujumbe wa Mapapa na Watakatifu kuhusu Rozari Takatifu?
Karibu uungane nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shikishi, Mwezeshaji  Padre Deodatus Katunzi, Mkurugenzi wa Radio Mbiu Sauti ya Faraja Kagera, akitufundisha juu ya Watakatifu na Mapapa wanazungumza nini kuhusu Rozari Takatifu.
Show more...
2 weeks ago
55 minutes 7 seconds

Radio Maria Tanzania
Je, unafahamu maana ya sherehe ya kutukuka kwa msalaba?
Karibu uungane nami Paschal Patrick, katika kipindi cha Tafakari ya Mama Bikira Maria, Mwezeshaji  Askofu Method Kilaini Askofu Msaidizi Mstaafu Jimbo Katoliki  Bukoba akitufundisha juu ya Kutukuka kwa Msalaba
Show more...
3 weeks ago
27 minutes 8 seconds

Radio Maria Tanzania
Ewe mwanamke je, unaufahamu uthubutu wako katika Uchumi?
Karibu uungane nami Martin Joseph katika kipindi cha Jinsia na Maendeleo, leo tutakuwa na mwezeshaji Bi. Eneless Mwinami Afsa Program kutoka Mwanza, akitufundisha juu ya Uthubutu wa mwanamke Kiuchumi.
Show more...
3 weeks ago
29 minutes 13 seconds

Radio Maria Tanzania
Je, unaufahamu uzuri wa Mama Bikira Maria?
Karibu uungane nami Esther Magai, katika kipindi cha Tumsifu  Maria, Mwezeshaji ni Padre Fabian Ngeleja Paroko wa Parokia ya Nyamanolo Jimbo Katoliki Mwanza, akitufundisha juu ya Uzuri wa Mama Maria.  
Show more...
3 weeks ago
52 minutes 17 seconds