Haraka sana ilienea kote Italia, tayari katika miaka ya 90, uzoefu huu wa kipekee wa redio uliamsha shauku katika sehemu zingine za ulimwengu. Baadaye, kila mara chini ya uelekezi na usaidizi wa Radio Maria Italia, Radio Maria nyingine iliibuka Amerika (kuanzia na Peru), Afrika (kwanza Burkina Faso), sehemu nyingine za Ulaya… na hivyo Familia ya Ulimwengu ya Radio Maria ilizaliwa mnamo Juni 1998, na kuwa NGO inayotambuliwa na UN, yenye makao makuu ya kisheria huko Roma. Madhumuni yake ni kuendeleza mradi wa kimisionari, kujibu maombi yanayotoka katika maeneo yote ya dunia, kuhakikisha uhalisi wa chapa, kutoa usaidizi wa kiufundi kwa RM zote, na kukuza mabadilishano na usaidizi kati ya kila redio.
Familia ya Ulimwengu inadumisha mahusiano ya mara kwa mara ya taarifa na Baraza la Kipapa la Mawasiliano ya Kijamii la Kiti Kitakatifu
All content for Radio Maria Tanzania is the property of Radio Maria Tanzania and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Haraka sana ilienea kote Italia, tayari katika miaka ya 90, uzoefu huu wa kipekee wa redio uliamsha shauku katika sehemu zingine za ulimwengu. Baadaye, kila mara chini ya uelekezi na usaidizi wa Radio Maria Italia, Radio Maria nyingine iliibuka Amerika (kuanzia na Peru), Afrika (kwanza Burkina Faso), sehemu nyingine za Ulaya… na hivyo Familia ya Ulimwengu ya Radio Maria ilizaliwa mnamo Juni 1998, na kuwa NGO inayotambuliwa na UN, yenye makao makuu ya kisheria huko Roma. Madhumuni yake ni kuendeleza mradi wa kimisionari, kujibu maombi yanayotoka katika maeneo yote ya dunia, kuhakikisha uhalisi wa chapa, kutoa usaidizi wa kiufundi kwa RM zote, na kukuza mabadilishano na usaidizi kati ya kila redio.
Familia ya Ulimwengu inadumisha mahusiano ya mara kwa mara ya taarifa na Baraza la Kipapa la Mawasiliano ya Kijamii la Kiti Kitakatifu
Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, leo tunaungana na Frater Daud Fungameza kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo Kuu Katoliki Songea, akijibu swali la msikilizaji linalosema Kanisa au kiongozi wa Kanisa kujihusisha na harakati za kisiasa au chama cha kisiasa inaruhusiwa?
Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani, leo tunaungana na Frater Daud Fungameza kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo Kuu Katoliki Songea, akijibu swali la msikilizaji linalosema neno Misa lilianza kutumika lini?
Karibu uungane nami Joyce Jonatus katika kipindi cha Pro Life Utetezi wa Uhai, mwezeshaji ni Godfly Mkaikuta, akitufundisha juu ya sababu 10 za kuzaa mtoto mwingine
Karibu uungane nami Martin Joseph katika kipindi cha Utume wa Walei, mwezeshaji ni Bi. Rose Gerald Katibu wa Kamati ya Uinjilishaji Jimbo Kuu Katoliki Dar Es Salaam, akitufundisha juu ya wajibu wa Walei na majukumu yao.
Karibu katika kipindi cha Tafakari Nasi, leo tunaungana na Padre Gidion Kitamboya kutoka Parokia ya Mtakatifu Luka Mwinjili Hembahemba Jimbo Kuu Katoliki Dodoma, akitufundisha juu ya Bikra Maria Malkia wa Imani.
Karibu uungane nami Martin Joseph katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi,Mwezeshaji ni Padre Dominic Mavula {C.PP.S}, Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria Tanzania, akitufundisha juu ya maisha ya Mtakatifu mpya Mtakatifu Bartolongo.
Karibu uungane nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Nena nami Bwana, ikiwa ni mafundisho kutoka kwa Mababa wa Kiroho kwa namna ya kipekee wanaonene nasi siku hii ya leo ni Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa, Askofu Mkuu Jimbo Kuu Katoliki Tabora, Mhashamu Tarcisius Ngalalekumtwa, Askofu Mstaafu wa Jimbo Katoliki Iringa, Askofu Christopher Ndizeye wa Jimbo Katoliki […]
Ungana nami Martin Joseph katika kipindi cha Amka na Mama ikiwa ni mkusanyiko wa nyimbo mbalimbali za kuanzisha siku ya Bwana, hakika kuimba ni kusali mara mbili njooni tumwimbie Bwana katika Roho na kweli.
Ungana nami Martin Joseph katika kipindi cha Amka na Mama ikiwa ni mkusanyiko wa nyimbo mbalimbali za kuanzisha siku mpya ya Bwana, hakika ni kusali mara mbili njooni tumwimbie Bwana katika Roho na kweli.
Ungana nami Martin Joseph katika kipindi cha Amka na Mama ikiwa ni mkusanyiko wa nyimbo mbalimbali za kuanzisha siku mpya ya Bwana, hakika kuimba ni kusali mara mbili njooni tumwimbie Bwana katika Roho na kweli.
Karibu uungane nami Peter katika kipindi cha Fahamu wito wako, mwezeshaji Padre Innocent Bahati Mushi kutoka Chuo Kikuu cha Nelson Mandela Jimbo Kuu Katoliki Arusha, akitufundisha juu ya Heri za utakatifu furahini na kushangilia.
Karibu uungane nami Martin Joseph katika kipindi cha Familia Bora na Nyumba Aminifu, Wawezeshaji ni Katekisita Castory Matimla, Benedict Kessy, Monica Kessy na Paschal Maziku kutoka Familia ni Nyumba Aminifu, wakitufundisha juu ya mlango wa nyumba aminifu na changamoto zake.
Karibu uungane nami Happiness Mlewa, katika kipindi cha Ijue Afya yako, mwezeshaji wa kipindi ni Daktari Catherine Mlale kutoka Hospitali ya Mtakatifu Fransisko wa Asizi Ifakara, Jimbo Katoliki Ifakara, akitufundisha juu ya ugonjwa wa mtoto wa Jicho.
Karibu uungane nami Martin Joseph katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji Padre Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria Tanzania, akitueleza juu ya ujumbe wa Amani wa Papa Benedict wa 15
Karibu uungane nami Happiness Mlewa Katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji Padre Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi wa Matamgazo Radio Maria Tanzania, akitufundisha juu ya ujumbe wa Mama Bikira Maria kuhusu Amani.
Karibu uungane nami Happiness Mlewa katika kipindi kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania {TEC}, Mwezeshaji Padre Alfred Kwene, akitufundisha juu ya Dominika ya Kimisionari 2025 na wajibu wetu sisi Waamini.
Karibu uungane nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shikishi, Mwezeshaji Padre Deodatus Katunzi, Mkurugenzi wa Radio Mbiu Sauti ya Faraja Kagera, akitufundisha juu ya Watakatifu na Mapapa wanazungumza nini kuhusu Rozari Takatifu.
Karibu uungane nami Paschal Patrick, katika kipindi cha Tafakari ya Mama Bikira Maria, Mwezeshaji Askofu Method Kilaini Askofu Msaidizi Mstaafu Jimbo Katoliki Bukoba akitufundisha juu ya Kutukuka kwa Msalaba
Karibu uungane nami Martin Joseph katika kipindi cha Jinsia na Maendeleo, leo tutakuwa na mwezeshaji Bi. Eneless Mwinami Afsa Program kutoka Mwanza, akitufundisha juu ya Uthubutu wa mwanamke Kiuchumi.
Karibu uungane nami Esther Magai, katika kipindi cha Tumsifu Maria, Mwezeshaji ni Padre Fabian Ngeleja Paroko wa Parokia ya Nyamanolo Jimbo Katoliki Mwanza, akitufundisha juu ya Uzuri wa Mama Maria.