Home
Categories
EXPLORE
True Crime
Comedy
Society & Culture
Business
Sports
Health & Fitness
Technology
About Us
Contact Us
Copyright
© 2024 PodJoint
00:00 / 00:00
Podjoint Logo
US
Sign in

or

Don't have an account?
Sign up
Forgot password
https://is1-ssl.mzstatic.com/image/thumb/Podcasts211/v4/8c/cd/c3/8ccdc38e-163e-288e-e987-fdda368c9c7f/mza_9142019026458763885.jpg/600x600bb.jpg
Habari RFI-Ki
RFI Kiswahili
24 episodes
15 hours ago

Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

Show more...
News
RSS
All content for Habari RFI-Ki is the property of RFI Kiswahili and is served directly from their servers with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.

Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

Show more...
News
Episodes (20/24)
Habari RFI-Ki
Tanzania : Maoni ya waskilizaji kuhusu uchaguzi wa Tanzania
Nini kilikukera kuhusu uchaguzi wa Tanzania ?
Show more...
1 day ago
9 minutes 55 seconds

Habari RFI-Ki
Maoni ya waskilizaji kuhusu matukio ya juma hili
Kila Ijumaa rfi Kiswahili inakupa nafasi kuchangia mada yoyote kuhusu matukio ya dunia.
Show more...
2 days ago
10 minutes

Habari RFI-Ki
Kenya : Mitandao ya kijamii inasababisha matatizo
Gazeti la The Star nchini Kenya limewahi chapisha ripoti inayoonesha namna mitandao ya kijamii inavyoathiri watu kwa kusababisha wasiwasi, matatizo ya afya ya akili na athari nyinginezo.
Show more...
4 days ago
10 minutes 4 seconds

Habari RFI-Ki
Tanzania : Raia wajitokeza kumchagua rais na wabunge
Shaba yetu katika makala haya inalenga nchi ya Tanzania ambapo raia wameshiriki uchaguzi kumchagua rais na wabunge.
Show more...
4 days ago
10 minutes 1 second

Habari RFI-Ki
Djibouti : Laondoa ukomo wa kuwania urais
    Djibouti  limekuwa taifa la  hivi punde  kuondoa rasmi kikomo cha umri wa rais , hatua inayotoa fursa kwa rais  Ismail Omar Guelleh kugombea muhula wa sita katika uchaguzi uliopangwa kufanyika Aprili mwaka ujao.
Show more...
6 days ago
9 minutes 59 seconds

Habari RFI-Ki
KILA SIKU YA IJUMAA KWENYE KPINDI CHA HABARI RAFIKI NI MADA HURU
Leo ni siku ya mada huru. Tunakupa nafasi kuzungumzia suala lolote ambalo limetokea nchini mwako wiki hii Unaweza pia kujadili kile ambacho umekisikia katika matangazo yetu ya wiki hii kwenye redio.
Show more...
1 week ago
10 minutes

Habari RFI-Ki
WANASAYANSI VIONGOZI WAKUTANA AFRIKA KUSINI KUJADILI AFYA BILA UFADHILI WA NJE
Viongozi wa dunia, wataalam wa Afya na wanasayansi wanakutana Afrika Kusini siku chache kabla kikao cha G20, ili kuanganzia  kuhusu njia za kufadhili afya bila kutegemea ufadhili wa kigeni.Tumemuuliza msikilizaji maoni yake kuhusu uwezo wa mataifa ya Afrika kufadhili miradi ya afya?
Show more...
1 week ago
10 minutes

Habari RFI-Ki
Mateka wa Israeli waliokuwa wanashikiliwa na Hamas waachiwa huru huko Gaza
Hivi leo viongozi wa dunia akiwemo rais wa Marekani, Donald Trump, wanakutana Misri kujadili mustakabali wa eneo la Gaza, baada ya makubaliano ya kihistoria ya wiki iliyopita. Makubaliano haya yameshuhudia kuachiwa kwa mateka, wafungwa na kusitishwa kwa vita vya Gaza. Tunakuuliza, unaamini makubaliano kati ya Hamas na Israel safari hii yatadumu?Nini cha zaidi kifanyike?Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka
Show more...
2 weeks ago
10 minutes 4 seconds

Habari RFI-Ki
Tuzo ya nobeli kutolewa ijumaa wiki hii
Msikilizaji kesho Ijumaa oktoba 10 kamati inayotoa tuzo za kimataifa za Nobel itamtangaza mshindi, wakati huu watu wengi wakiwa wamempendekeza rais wa Marekani Donald Trump kutokana na mchango wake wa kutafuta amani mashariki ya kati, hata hivyo wadadisi wanasema kiongozi huyo hawezi kupewa tuzo hiyo. Unafikiri ni Kiongozi gani anastahili kupewa tuzo hii mwaka huu na kwanini? Ungana nami Ruben Lukumbuka, mubashara kutoka studio namba mbili hapa karibu tuandamane hadi tamati.-
Show more...
3 weeks ago
9 minutes 58 seconds

Habari RFI-Ki
Vitendo vya utekaji nyara kuongezeka Afrika mashariki
Habari rafiki ya jumatano octoba 08 imeangazia vitendo vya utekaji nyara ambavyo vimeongezeka katika nchi za ukanda wa Afrika mashariki, hivi karibuni nchini Uganda wanaharakati wawili kutoka nchini Kenya walikamatwa baada ya kuhudhuria mkutano wa kisiasa wakati nchini Tanzania, aliyekuwa balozi wa nchi hiyo huko Cuba Humphrey Polepole alitekwa na watu wasiojulikana na mpaka sasa hajulikane alipo. Sikiliza makala hii kupata mengi zaidi
Show more...
3 weeks ago
10 minutes 3 seconds

Habari RFI-Ki
Waasi wa M23 huko DRC wajiimarisha katika kutengeneza serikali mbadala
Waasi huko mashariki mwa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo wameendelea kujiimarisha kiutawala, kisiasa na kimiundo mbinu katika kujenga barabara, kutangaza orodha ya mawakili, hatua inayodhihirisha kuwa waasi hao wanaendea kutengeneza serikali mbadala na ile ya Kinshasa. Makala ya habari rafiki inaangazia hatua hiyo 
Show more...
3 weeks ago
10 minutes 7 seconds

Habari RFI-Ki
Rais mstaafu wa DRC Joseph Kabila ahukumiwa kifo, maoni ya wasikilizaji
Mahakama ya kijeshi nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo DRC imemhukumu rais mstaafu wa nchi hiyo Joseph Kabila Kabange adhabu ya kifo bila ya yeye mwenyewe kuwepo mahakamani, ikimtia hatiani kwa usaliti na uhalifu dhidi ya binadamu. Chama chake PPRD kimesema kesi hiyo ni ya kisiasa dhidi ya mpinzani mkubwa wa serikali. Mwandishi wetu Ruben Lukumbuka anaungana na wasikilizaji wa Idhaa kupata maoni yao kuhusu kesi hii, makinika kwa kusikiliza makala hii.-
Show more...
1 month ago
10 minutes 5 seconds

Habari RFI-Ki
Serikali ya DRC kusitisha leseni za makanisa na taasisi za kisheria
Serikali ya DRC kupitia wizara ya sheria imesitisha utoaji wa leseni za Makanisa, katika kupambana na Rushwa! kwa maoni yako unaamini kusitisha utoaji wa leseni kutasaidia kupambana na rushwa? Hali ya rushwa ikoje katika taasisi za umma nchini mwako? Mwandishi wetu Ruben Lukumbuka pamoja na wasikilizaji wetu wanajaribu kupata jibu kwa maswali hayo
Show more...
1 month ago
10 minutes 5 seconds

Habari RFI-Ki
Tume ya uchaguzi nchini Kenya yazindua zoezi la uandikishaji wapiga kura
Makala ya habari rafiki ya jumatatu septemba 29 2025 imeangazia hatua ya tume ya uchaguzi nchini Kenya IEBC kuzindua zoezi la kuwaandika wapiga kura ambalo limeonekana kuwavutia vijana wengi, maarufu kama Gen Z.Tumekuuliza msikilizaji je? unaona vijana wote wako tayari kujiandikisha na katika nchi yako vijana wanahamasishwa vipi. Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka, kwa kutuma maoni ya sauti kupitia nambari yetu ya whatsApp: +254110000420 ama pia kupitia Facebook : RFI Kiswahili  
Show more...
1 month ago
10 minutes 8 seconds

Habari RFI-Ki
Kila Ijumaa unachangia chochote ndani ya rfi Kiswahili
Kila Ijumaa rfi kiswahili inakupa nafasi ya kuchangia mada yoyote, iwe kila kinaendelea hapo ulipo au yale umeskia kwenye matangazo yetu.
Show more...
1 month ago
9 minutes 45 seconds

Habari RFI-Ki
Ethiopia yazindua bwawa lake la kuzalisha umeme
Je mataifa ya Africa yanatumia raslimali zake kujinufaisha?
Show more...
1 month ago
9 minutes 54 seconds

Habari RFI-Ki
Kenya: Uporoja wa pesa za bima afya kizungu mkuti
Shaba yetu inalenga Nchini Kenya, ambapo madai ya kupora kwa pesa za bima ya afya ya serikali yanaendelea kutatiza utowaji wa huduma ya afya hili likiwaathiri raia wa kawaida.
Show more...
1 month ago
9 minutes 58 seconds

Habari RFI-Ki
Umoja wa mataifa umesalia kimya ukiukaji wa haki ukiendelea
Je umoja wa mataifa umesalia kimya ukiukaji wa haki ukiendelea?
Show more...
1 month ago
9 minutes 49 seconds

Habari RFI-Ki
Raia wa nchi za Afrika wapendekeza watu wazima kupewa fursa ya kusoma na kuandika
Kila mwaka tarehe 8 Septemba ulimwengu husherehekea maendeleo katika ujuzi wa kusoma na kuandika katika ngazi ya kimataifa, kikanda na kitaifa. Mwaka huu imekuwa ni fursa ya kutafakari kwa kina kuhusu maana ya kusoma na kuandika katika enzi hii ya kidijitali.
Show more...
1 month ago
9 minutes 59 seconds

Habari RFI-Ki
Kenya na Uganda zakubaliana rasmi kuondoa vizuizi vyote vya kibiashara
Tunazungumzia hatua ya Kenya na Uganda kukubaliana rasmi kuondoa vizuizi vyote vya kibiashara, vikiwemo vizuizi vya ushuru na visivyo vya ushuru, ili kuwezesha mtiririko huru wa bidhaa, huduma, na watu kati ya mataifa hayo mawili
Show more...
1 month ago
10 minutes 1 second

Habari RFI-Ki

Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.