Home
Categories
EXPLORE
True Crime
Comedy
Business
Society & Culture
Health & Fitness
Sports
Technology
About Us
Contact Us
Copyright
© 2024 PodJoint
00:00 / 00:00
Podjoint Logo
US
Sign in

or

Don't have an account?
Sign up
Forgot password
https://is1-ssl.mzstatic.com/image/thumb/Podcasts221/v4/ce/2b/f6/ce2bf623-524a-b72c-aba0-b5e4576645e8/mza_13721140407971496520.jpg/600x600bb.jpg
DUKAHURU PODCAST
Dukahuru Brands Tanzania Limited
6 episodes
4 weeks ago
In your own understanding, how can you describe the word RELATIONSHIP? Here is just the tip of the iceberg when it comes to understanding and manifestation of how we describe the word RELATIONSHIP in both work workplace, family, and love companions. Support the show Prepared by Dukahuru Social media and Brand psychologist Instagram.com/Dukahuru Www.Dukahuru.co.tz WhatsApp wa.me/255783820003
Show more...
Business
Education,
Technology
RSS
All content for DUKAHURU PODCAST is the property of Dukahuru Brands Tanzania Limited and is served directly from their servers with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
In your own understanding, how can you describe the word RELATIONSHIP? Here is just the tip of the iceberg when it comes to understanding and manifestation of how we describe the word RELATIONSHIP in both work workplace, family, and love companions. Support the show Prepared by Dukahuru Social media and Brand psychologist Instagram.com/Dukahuru Www.Dukahuru.co.tz WhatsApp wa.me/255783820003
Show more...
Business
Education,
Technology
Episodes (6/6)
DUKAHURU PODCAST
HOW DO YOU UNDERSTAND THE WORD RELATIONSHIP?
In your own understanding, how can you describe the word RELATIONSHIP? Here is just the tip of the iceberg when it comes to understanding and manifestation of how we describe the word RELATIONSHIP in both work workplace, family, and love companions. Support the show Prepared by Dukahuru Social media and Brand psychologist Instagram.com/Dukahuru Www.Dukahuru.co.tz WhatsApp wa.me/255783820003
Show more...
4 weeks ago
41 minutes

DUKAHURU PODCAST
ARE WE AT THE PEAK OF TECHNOLOGY AS TANZANIANS
The Rise of Technology: A Tanzanian Perspective Technology across the globe has evolved into a new era — a multiverse revolution transforming how humanity lives, works, and connects. Yet, while some nations advance at lightning speed, others are still catching up. Here in Tanzania, technology remains a mystery to many — especially in rural communities where access and awareness are still limited. But the real power (and fear) of technology lies not in the tools themselves, but in how we choos...
Show more...
4 weeks ago
28 minutes

DUKAHURU PODCAST
CHOCHOTE UNACHOKIFANYA NILAZIMA UWE NA MIPANGO
Hakuna jambo linazoweza kukamilika hata liwe la kipumbavu bila kuwa na mpango nyuma yake wa kulikamilisha. Maisha ya mwanadamu hususani kwa karne ya sasa, bila mipango ni sawa na kuongoza meli bila kuwa na dira. Ni jambo lipi umewahi kulifanya pasipokuwa na mipango likaishia kukutia harasa au kukupa majuto? Mazunguzmo haya na Mr Menu yanaweza kukupa wangaza nini ufanya pindi unapokuwa unataka kukamilisha jambo lako. Support the show Prepared by Dukahuru Social media and Brand psychologist I...
Show more...
4 weeks ago
37 minutes

DUKAHURU PODCAST
7 DOORS TO PERSONAL GREATNESS || MILANGO 7 YA UKUU WAKO BINAFSI
Moja ya mambo mengi unayopitia kwenye maisha ni changamoto za kukujenga ila unapokosea kutafsiri yale yanayokutokea, hupelekea kuporomoka kwako kimaisha. Leo tumepata nafasi adhimu ya kuzungumza japo kwa uchache juu ya yale yanaweza kukujenga na kukupa mwangaza katika kila maauzi yako. Udhoefu na ustamilivu alionao ama kupitia Bwana Rodrick Nabe ni mkubwa na kupitia kitabu chake cha 7 DOORS TO PERSONAL GREATNESS tumechambua milango miwili na yenye faida kuu kwenye maisha yako ya kila siku. ...
Show more...
2 months ago
40 minutes

DUKAHURU PODCAST
YOUR KITCHEN CAN HEAL & DESTROY YOU || TIBA YA MWILI WAKO IPO JIKONI KWAKO
Katika kuijenga afya yako na kuhakikisha kuwa unaishi katika misingi bora ya afya bora, ni njia zipi za milo hutumia? Hili ni swali mimi na wewe tunajiuliza, Je, maisha ya kale na haya ya sasa yapi yalikuwa madhubuti kwa afya zetu. Je, vyakula tunavyokula leo hii, miili yetu inaweza kupambana na maradhi pasipo kutegemea madaya ya hospitalini? Kama una maswali mengi kama hayo juu ya afya yako, basi mazungumzo haya yamebainisha namna au jinsi unavyowenza ishi salama kwa kuzingati...
Show more...
2 months ago
38 minutes

DUKAHURU PODCAST
CAPACITY BUILDING TRAINING || MAFUNZO YA KUJIJENGEA UWEZO
Moja ya changamoto kubwa kwenye Taifa hili ni upatikananaji wa haraka wa ajira. Ajira nyingi zinahitaji uzoefu wa miaka 3,5,10 na kuendelea ili kukidhi vigezo na masharti ya kampuni fulani. Tatizo kubwa tena, yawezekana sio kukosa hajira au kukosa wafanyakazi wazalendo wachapa kazi ama wanao elewa sababu ya wao kuwepo eneo la kazi. Kama mwajiri umeshawaji kujiuliza wewe na bodi yako, kuwa wafanyakazi mlio nao, mmewatengenezea mazingira yapi ya kuweza kuwafanya bora...