Kwenye episode hii utajifunza namna ambavyo unaweza kutumia simu yako kama benki na pia sehemu ya kujipatia taarifa mbali mbali
Imeletwa kwako na UNCDF kwa ushirikiano na Khanga Rue Media
Hapa utajifunza namna Vikundi vya Kuweka Akiba na Kukopa (VICOBA) vinavyoweza kukusaidia kuweka akiba na kukopa ili uweze kufikia malengo yako ya kifedha. Utajifunza pia namna ambavyo VICOBA vinafanya kazi, muundo wake na pia utaweza kuona kwamba hivi vikundi vinasaidia hata kupata michango ya kijamii.
Somo hili limeandaliwa na Khanga Rue Media kwa ushirikiano na UNCDF.
Kwenye kipindi hiki utajifunza kuhusu mikopo, wakati unashauriwa kukopa na majukumu ya mikopo.