
Karibu Kwenye The Wealth Building Podcast, Wiki Hii Tunaangalia Nini Ufanye Wakati Gani Kwasababu Sio Kila Kanuni Itakufaa Mara Zote.
Enjoy Episode Ya Leo, tafadhali Shiriki Kueneza Injili Hii Ya Fedha, Kwa Kushare Episode Hii Na Episode Nyingine Kwenye Podcast Hii Na Wengine.
Coach Gee.