Mafanikio makubwa kifedha yanachangiwa kwa ukubwa na tabia zako kifedha. Tabia za kila siku ndizo zitaamua ufanikiwe kifedha au ufeli kifedha.
Leo tunaangalia tabia zitakazokusaidia kuitunza fedha yako, Kwasababu kuitunza fedha yako ni muhimu kwa faida ya leo na kesho.
Karibu Ujifunze Yale Waliyosahau Kukufundisha Shule,
Coach Gee,
Ishi humu utajishukuru sana baadae.
Kila safari ina hatua na hii ndio hatua ya kwanza muhimu kwenye safari yako ya kujenga utajiri wa kudumu.
Wote tupo kwenye mission ya kupata uhuru wa kifedha, lakini ni ipi maana halisi ya uhuru wa kifedha? Tuangalie maana moja wapo ya uhuru wa kifedha leo.
Love & Respect,
Grace-Wealth Building Coach
Kitakachokutofautisha wewe na wengine katika safari hii ya kujenga utajiri ni TABIA. Na hizi ndio tabia muhimu kuhakikisha unaishi nazo.
Kumbuka kwamba kujenga utajiri kwa ajili yako na vizazi vyako inawezekana, AMUA AMUA!
Love & Respect,
Grace
Usiwe umeingia tu kwenye safari hii ya kujenga utajiri bila kuwa na ''KWANINI'' ni muhimu na lazima kujua sababu. Sikiliza episode hii kuelewa zaidi.
Love & Respect,
Queen Gee - The Wealth Building Coach
Happy New Year Wealthy People!
Karibuni Kwenye Episode Hii Ambayo Tunaangalia Moja Ya Tabia Ya Kutokuendekeza Kifedha 2024.
Ni matumaini Yangu Hautakuwa Tu Msikilizaji Bali PiAa Utakua Mtekelezaji.
Love & Respect,
Queen Gee - The Wealth Building Coach
Karibu Kwenye Episode Nyingine Ya The Wealth Building Podcast, Elimu Hii Waliyosahau Kukufundisha Shule, Share Na Wengine Tujifunze Pamoja.XOXO,The Wealth Building Coach
Kazi ya fedha zako sio kulipa bills tu na madeni, kuna zaidi ya hayo. Jifunze kazi zaidi ya pesa zako kwenye episode hii ya leo.
Usisahau kushare episode hii na wengine.
XOXO,
Your Wealth Building Coach
Usiache tu mambo yako ya kifedha yaenda bora yameenda, kuwa in control, shikilia uskani mtu wangu.
Mwaka unapogawanyika zingatia kufanya mambo haya muhimu kifedha.
XOXO,
Your fave wealth building coach.
Moja ya financial principle ya muhimu ni kuhakikisha unajilipa wewe kwanza kwenye kila mapato unayopata. Unajilipa vipi na kwanini ni muhimu utajifunza hapa kwenye episode ya wiki hii.
Enjoy listening & learning,
XOXO,
Your wealth building coach.
Ile episode tumekuwa tukisubiri kwa hamu hii hapa. Usiogope Mikopo, Ogopa Mikopo Mibaya!
Usiache kushare na marafiki episode hii,
XOXO,
Queen Gee. The Wealth Building Coach.
Hello Wealthy People!
Najua ungependa kuzifahamu hatua za kufikia uhuru wa kifedha basi nami bila iyana nakuletea hizi hapa hatua za muhimu za kuzingatia ili uweze kufikia uhuru wako wa kifedha.
XOXO,
Queen Gee, The Wealth Building Coach.
Hello Wealthy People! Episode hii ni ya wote tunaoshindwa kuweka akiba, sababu hizi ukizifanyia kazi utavuka eneo hilo la kuweka akiba na utakuja kunishukuru baadae.
Tafadhali Usiache Ku-Subscribe, like, comment pamoja na kushare episode hii na rafiki.
XOXO,
Your Wealth Building Coach
Mpaka sasa utakua umefahamu mengi kwenye safari yako ya kupata uhuru wa kifedha, lakini la muhimu kufahamu zaidi utalijua kwenye hii episode.
Nani asiyetaka kuwa huru kifedha? Hakuna! So leo tunaangalia nini unaweza kufanya ili ufikie uhuru wako wa kifedha.
Usiruhusu kufanya kazi, kupata mapato na kuishia kulipa madeni kila siku. Badilika!
Happy new year! Unawaza jinsi ya kufikia malengo yako kifedha mwaka huu? Majibu yapo kwenye episode hii.