Welcome to the Tanzania Embassy Beijing Podcast!
Headed by His Excellency Mbelwa Kairuki, Ambassador of United Republic of Tanzania in People’s Republic of China which is also accredited to Socialist Republic of Vietnam, the Democratic People’s Republic of Korea and the Mongolian People's Republic.
Tanzania Embassy Beijing Podcast will be sharing Information on Tanzania and China, doing business, trade and investments in Tanzania - China and much more.
All content for Tanzania Embassy Beijing Podcast is the property of Tanzania Embassy Beijing Podcast and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Welcome to the Tanzania Embassy Beijing Podcast!
Headed by His Excellency Mbelwa Kairuki, Ambassador of United Republic of Tanzania in People’s Republic of China which is also accredited to Socialist Republic of Vietnam, the Democratic People’s Republic of Korea and the Mongolian People's Republic.
Tanzania Embassy Beijing Podcast will be sharing Information on Tanzania and China, doing business, trade and investments in Tanzania - China and much more.
Taarifa kuhusu bidhaa za uvuvi (wild aquatic products) zinazohitajika kwa wingi katika soko la China na utaratibu wa kujisajili ili kuuza China kufuatia mkataba uliosainiwa wakati wa Ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk.Samia Suluhu Hassan nchini China
Taarifa ya Balozi Mbelwa Kairuki kwa Waandishi wa Habari kuhusu maandalizi ya ziara ya Kitaifa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan
Taarifa kwa Umma Kuhusu Maadhimisho ya Wiki ya Ushirikiano wa Uchumi kati ya Tanzania na Jimbo la Zhejiang la nchini China. o la Zhejiang (CCPIT- Zhejiang Sub Council) Ndugu Chen Zongyao jijini Hangzhou. Zhejiang ni mojawapo ya Majimbo ya China yenye nguvu kubwa ya kiuchumi ikiwa na GDP ya Dola za Kimarekani Bilioni 849 na GDP per capital ya Dola za Kimarekani 14,907. Kutokana na utajiri wa Jimbo hilo, zipo fursa nyingi za biashara na uwekezaji.
Hivi karibuni Shirika letu la Ndege la Air Tanzania limetangaza kurejesha safari ya kwenda Guangzhou nchini China kuanzia tarehe 17 Julai 2022.
Kufuatia tangazo hilo Ubalozi umepokea ujumbe kutoka kwa wananchi mbalimbali hususan wafanyabiashara wakitaka kujua kama hivi sasa China imefungua mipaka yake na kwamba watanzania wataweza sasa kuja China na Air Tanzania kwa ajili ya shughuli zao.
Balozi Kairuki aiomba Jumuiya ya kimataifa kushirikiana katika kulikabili janga la UVIKO19 badala ya kuyabagua mataifa ya Afrika yaliyoiwezesha dunia kufahamu aina mpya ya kirusi cha UVIKO19 (OMICRON). Rai ameitoa katika Mkutano wa Kimataifa wa Mwaka 2021 wa Imperial Springs uliofanyika jijini Guangzhou
Kwa kutambua uhitaji wa Msaada wa kununua Mashine na mitambo ya uzalishaji kwa ajili ya kuanzisha viwanda vidogo, vya kati na vikubwa- kuanzia tarehe 1 Septemba Ubalozi wa Tanzania Nchini China utaanzisha DAWATI LA VIWANDA. Dawati hilo litatoa huduma kwa watanzania watakaokuwa na nia ya kununua kutoka China mitambo ya kuzalisha bidhaa mbalimbali nchini.
Taarifa muhimu kwa Watanzania wanaosoma nchini China kwa ufadhili wa China Scholarship Council. Taarifa hiyo inatoa mrejesho kuhusu baadhi ya masuala ambayo wanafunzi waliyawasilisha katika Mkutano Mkuu wa Wanafunzi wanaosoma China uliofanyika tarehe 22 Mei 2021
Mara nyingi Ubalozi unapotangaza fursa mpya ya soko- swali linaloulizwa na watu wengi ambao wanafikiria kuchangamkia fursa hiyo ni "wananunua kwa bei gani au offer yao ni kiasi gani". Ni vizuri kuwa na ufahamu wa jumla kuhusu mwenendo wa bei ya soko la dunia la bidhaa hiyo. Hata hivyo ni muhimu zaidi kwa anayetaka kuuza bidhaa - awe ndio mtoa bei kwani mwenye mali ndio anajua gharama aliyoingia kuipata mali yake na ili asipate hasara anatakiwa kuuza kwa bei gani.Hivyo, unapojipanga kuuza bidhaa nje- ni muhumu ukajua bei itakayokupa faida ni ipi.
Taarifa ya kwa Umma kuhusu hafla ya kuonja kahawa ya Tanzania "Coffee Cupping" itakayofanyika jijini Changsha tarehe 14-18 Juni 2021. Hafla hiyo itakayohudhuriwa na Makampuni yanayonunua kahawa katika soko la China itawezesha wauzaji wa kahawa ya Tanzania kutangaza bidhaa yao katika soko la China