Kujiachilia inamaanisha nini haswa? Jumuika nasi tufafanue njia tofauti zinzazoashiria kuwa umejiachilia kwenye mahusiano.
Leo tunakuonya kuhusu madhara ya kufanya biashara na mpenzi wako. Je kuna mipaka unayoeza kueka kuhakikisha hutaadhirika mnapokosana?
Ukumbi kwenye kipindi hiki tunawapa kina work wife na work husband.
Kama una mwanaharakati unayempenda ama wataka kuanza kufanya content kuna vitu muhimu lazima ujue.
Umewahi kufanya kazi mahali ukaanza kukonda kwa stress?
Kuna mila kwenye familia za uswahilini ambazo zimewezesha wanawake kushughulikia familia zao bila stress.
Mwanaume Mwenye Pesa Anaweza Kua Mwaminifu Kwa Mwanamke Mmoja?
Tumeskia mara nyingi sana kuwa wanaume huwa hawafai kuhurumiwa. Je madhara huwa gani?
Episode hii inaendeleza kipindi cha wiki iliyopita. Je, kama ni mkaka maskini, mambo yatamuendeaje?
Kuna changamoto au faida yoyote kwenye mahusiano kama haya?
Kwenye episode Hii tunachambua mahusiano kati ya davido na mke wake chioma.
Je,umeweka mipaka gani kwenye mahusiano yako?
Kama ni wewe ungefanyaje?
Kwenye episode hii tunampa ushauri dada huyu.
Sikiza hii kabla hujanunua mkorogo.
Skiza kipindi hiki kabla hujajiaibisha kwenye mikahawa mjini.
Tunawapa ushauri dada zetu ambao wamechoka kuteseka kwenye mahusiano.
Kipindi hiki tunaulizana maswali ya kuchangamsha kuhusu utotoni, shule na mahusiano.
Tuangalie maisha ambayo wanamitindo wako unaopenda wanaishi
Mahusiano yanagharimu Pesa siku hizi lakini kwa wale amabao hela hawana, wanatumia mbinu gani kimapenzi.