Clifford Sangai anaungana na Prosper Bartalomew kujadili mada mbalimbali zinazohusu mpira wa miguu. Tunaangazia uwekezaji, mbinu na historia mbalimbali za Soka.
All content for SportsCast is the property of Clifford Sangai and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Clifford Sangai anaungana na Prosper Bartalomew kujadili mada mbalimbali zinazohusu mpira wa miguu. Tunaangazia uwekezaji, mbinu na historia mbalimbali za Soka.
Mbinu zilizotrend katika ligi tano bora barani Ulaya. Part 1
SportsCast
41 minutes
4 years ago
Mbinu zilizotrend katika ligi tano bora barani Ulaya. Part 1
SportsCast imekuandalia uchambuzi wa ligi kuu tano bora barani ulaya tukiangazia hasa mechi za awali kabla ya mapumziko kwa ajili ya timu za taifa (International Break)
Kama kawaida Clifford Sangai anaungana na Prosper Bartalomew kudadavua mbinu za makocha mbalimbali na Wachezaji walioonesha viwango katika hatua za awali.
Tumegusia mbinu ya Manchester city ilivyofeli katika mechi za mwanzoni kabisa msimu huu. Pia tumeangalia kikosi cha Real Madrid chini ya Carlo Ancelloti kama kuna mabadiliko yoyote.
Pia Prosper ametaja orodha ya makocha wanaopaswa kuangaliwa kwa umakini katika Ligi Kuu nchini Ufaransa, pia ameelezea ubora wa Jose Mourinho na Julian Naglesmann.
Tufuate katika mtandao wa Instagram: https://instagram.com/sportscasttz?igshid=1s7jr9p0pao5
Twitter: https://twitter.com/SportsCastTz?s=09
SportsCast
Clifford Sangai anaungana na Prosper Bartalomew kujadili mada mbalimbali zinazohusu mpira wa miguu. Tunaangazia uwekezaji, mbinu na historia mbalimbali za Soka.