Clifford Sangai anaungana na Prosper Bartalomew kujadili mada mbalimbali zinazohusu mpira wa miguu. Tunaangazia uwekezaji, mbinu na historia mbalimbali za Soka.
All content for SportsCast is the property of Clifford Sangai and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Clifford Sangai anaungana na Prosper Bartalomew kujadili mada mbalimbali zinazohusu mpira wa miguu. Tunaangazia uwekezaji, mbinu na historia mbalimbali za Soka.
Martin Ødegaard ni suluhu kwa matatizo ya Arsenal?
SportsCast
23 minutes 41 seconds
4 years ago
Martin Ødegaard ni suluhu kwa matatizo ya Arsenal?
Tuliwahi kuongelea kuhusu kukosekana kwa kiungo mshambuliaji katika kikosi cha Arsenal kwenye Podcast hii.
Sasa Arsenal chini ya Arteta imemsajili kiungo Martin Ødegaard kutoka Real Madrid.
Clifford Sangai anaungana na Prosper Bartalomew kujadili kama Ødegaard ataleta ahueni katika eneo la kiungo mshambuliaji.
Ødegaard aliweza kuwashawishi mashabiki kipindi yupo kwa mkopo? Takwimu zake zinasemaje klabuni hapo? Je ni chaguo muhimu kwa Arsenal?. Basi sikiliza episode hii.
Tumeangazia pia kama Mikel Arteta anaweza kutumia tena mfumo wa 3-4-3 ambao ulimpa mafanikio kipindi anaichukua timu.
Tufuate katika mtandao wa Instagram: https://instagram.com/sportscasttz?igshid=1s7jr9p0pao5
Twitter: https://twitter.com/SportsCastTz?s=09
SportsCast
Clifford Sangai anaungana na Prosper Bartalomew kujadili mada mbalimbali zinazohusu mpira wa miguu. Tunaangazia uwekezaji, mbinu na historia mbalimbali za Soka.