Hii wiki tunabonga kuhusu:-
Hii wiki tunabonga kuhusu gava kuiba doh za Covid wakati citizens wana struggle.
This week tunabonga na ma youth wanajituma na tunapata opinion yao kuhusu Gava.
This week kwa show nabonga na mayouth ambao wameamua kujituma despite challenged Covid imeleta.
Shujaaz Radio ni show ambayo ina entertainment, place mayouth wanaeza skika na place tunajengana an ideas kibao.
Kwa hii episode nachapiana na JFAM, gospel artist mnoma sana, kuhusu challenges ameface hii time ya Covid. Pia mayouth wanashare story zao za vile wanasurvive hii time.