Home
Categories
EXPLORE
True Crime
Comedy
Society & Culture
Business
Sports
History
Fiction
About Us
Contact Us
Copyright
© 2024 PodJoint
00:00 / 00:00
Sign in

or

Don't have an account?
Sign up
Forgot password
https://is1-ssl.mzstatic.com/image/thumb/Podcasts123/v4/88/bf/f2/88bff260-1246-32ce-6b03-a8a5753dc468/mza_3064039167260164669.jpg/600x600bb.jpg
She's Bold
Najma Matengo
21 episodes
5 days ago
She’s Bold is a podcast where we challenge traditions and mindsets limiting women in Africa. Najma the host, interviews phenomenal women in Tanzania and the diaspora to uncover, defy and lay a foundation for other women to break the barrier. It's what every woman in Africa should know. The new episode drops every Saturday.
Show more...
Society & Culture
RSS
All content for She's Bold is the property of Najma Matengo and is served directly from their servers with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
She’s Bold is a podcast where we challenge traditions and mindsets limiting women in Africa. Najma the host, interviews phenomenal women in Tanzania and the diaspora to uncover, defy and lay a foundation for other women to break the barrier. It's what every woman in Africa should know. The new episode drops every Saturday.
Show more...
Society & Culture
https://d3t3ozftmdmh3i.cloudfront.net/production/podcast_uploaded_nologo/1947485/1947485-1672414900819-708c4def277c1.jpg
Mtazamo Kuhusu Mwanamke Mzuri: Mwanamke Mzuri ni Yupi?
She's Bold
18 minutes 48 seconds
2 years ago
Mtazamo Kuhusu Mwanamke Mzuri: Mwanamke Mzuri ni Yupi?

Episode hii inafichua sababu zinazowapelekea wasichana kudhani sio wazuri, fikira hii imepelekea wengine kufanya maamuzi yalioathiri maisha yao. Wengine wameishinda fikira hii inayotawala katika jamii ya Kiafrika. Wamewezaje?

Najma anamhoji Emmy Rose Rugumamu kuhusu kampeni yake ya kusaida wanawake wenye mauombo makubwa. Emmy Rose ni Communication Professional ,anafanya kazi UWC East Africa, Pia ni kiongozi wa TEDxMajengo , Emmy Anapenda kutengeneza maudhui na  kujieleza (storytelling ) pia ni mwandaaji wa open mic nights  huko Arusha.

 Kuna sauti za wanawake wengine na experience zao katika kushinda mtazamo wa jamii juu ya umbo au uzuri wao.

Subscribe uweze kupata notification kila tunapopublish episode mpya.