Home
Categories
EXPLORE
True Crime
Comedy
Society & Culture
Business
Sports
History
Fiction
About Us
Contact Us
Copyright
© 2024 PodJoint
00:00 / 00:00
Sign in

or

Don't have an account?
Sign up
Forgot password
https://is1-ssl.mzstatic.com/image/thumb/Podcasts221/v4/f9/4a/b0/f94ab09c-a802-a022-448f-d6304bbab2d8/mza_17649489430173303793.png/600x600bb.jpg
Mwl. Erick’s Podcast
ericleelyimo
32 episodes
3 days ago
The word of God for an endless life of victory
Show more...
Christianity
Religion & Spirituality
RSS
All content for Mwl. Erick’s Podcast is the property of ericleelyimo and is served directly from their servers with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
The word of God for an endless life of victory
Show more...
Christianity
Religion & Spirituality
https://pbcdn1.podbean.com/imglogo/ep-logo/pbblog20479140/Doers_of_the_Worda7fhr.png
WATENDAJI WA NENO
Mwl. Erick’s Podcast
1 hour 57 seconds
7 months ago
WATENDAJI WA NENO
IWENI WATENDAJI WA NENOYak 1:22-25 Lakini iweni watendaji wa neno, wala si wasikiaji tu, hali mkijidanganya nafsi zenu. Maana mtu akiwa ni msikiaji wa neno tu, wala si mtendaji, huyo ni kama mtu anayejitazama uso wake wa asili katika kioo;  Lakini yeye anayeitazama sheria kamilifu iliyo ya uhuru, na kukaa humo, asiwe msikiaji msahaulifu, bali mtendaji wa kazi, huyo atakuwa heri katika kutenda kwake.1. Ni udanganyifu kuwa msikiaji wa Neno pekeeMt 7:24-27 Basi kila asikiaye hayo maneno yangu, na kuyafanya, atafananishwa na mtu mwenye akili, aliyejenga nyumba yake juu ya mwamba; mvua ikanyesha, mafuriko yakaja, pepo zikavuma, zikaipiga nyumba ile; nayo haikuanguka, kwa maana misingi yake imewekwa juu ya mwamba. Na kila asikiaye hayo maneno yangu asiyafanye, atafananishwa na mtu mpumbavu, aliyejenga nyumba yake juu ya mchanga, mvua ikanyesha, mafuriko yakaja, pepo zikavuma, zikaipiga nyumba hiyo; ikaanguka: na anguko lake lilikuwa kubwa. 2. Anguko katika maisha si kwa sababu ya yale tunayokabiliana nayo bali ni yale tunayofanyaJifunze zaidi kwenye somo hili
Mwl. Erick’s Podcast
The word of God for an endless life of victory