Home
Categories
EXPLORE
True Crime
Comedy
Society & Culture
Business
Sports
History
News
About Us
Contact Us
Copyright
© 2024 PodJoint
00:00 / 00:00
Sign in

or

Don't have an account?
Sign up
Forgot password
https://is1-ssl.mzstatic.com/image/thumb/Podcasts221/v4/f9/4a/b0/f94ab09c-a802-a022-448f-d6304bbab2d8/mza_17649489430173303793.png/600x600bb.jpg
Mwl. Erick’s Podcast
ericleelyimo
32 episodes
1 day ago
The word of God for an endless life of victory
Show more...
Christianity
Religion & Spirituality
RSS
All content for Mwl. Erick’s Podcast is the property of ericleelyimo and is served directly from their servers with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
The word of God for an endless life of victory
Show more...
Christianity
Religion & Spirituality
https://pbcdn1.podbean.com/imglogo/ep-logo/pbblog20479140/KANUNI_YA_MCHAKATO_-_PT_296wlk.png
KANUNI YA MCHAKATO - PT 2
Mwl. Erick’s Podcast
1 hour 2 minutes 35 seconds
7 months ago
KANUNI YA MCHAKATO - PT 2
KANUNI YA MCHAKATO - PT 2 Kwenye sehemu ya pili ya somo hili tunaangalia faida ya mchakato. Mungu huwapa watu sawasawa na uwezo wao: Mathayo 25:15“Akampa mmoja talanta tano, na mmoja talanta mbili, na mmoja talanta moja, kila mtu kadiri ya uwezo wake; akasafiri mara. Ili kufanya makubwa Zaidi badala ya kukaa na wishful thinking chukua hatua na kuongoza capacity (uwezo wako). Hatima ni kwa wanaoweza kupambana (fighters) na wanaoweza kutamalaki territories.  Kutembea katika halisia za baraka tulizo nazo katika Kristo ni Zaidi ya kufunga, kuomba na kusoma neno.  Jifunze Zaidi kwenye somo hili:
Mwl. Erick’s Podcast
The word of God for an endless life of victory