All content for Mwl. Erick’s Podcast is the property of ericleelyimo and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Changamoto ndizo zinazofanya maisha kuwa ya kuvutia na kuzishinda ndiko kunakofanya Maisha kuwa na maana.
Tofauti kati ya watu waliofanikiwa kimaisha na wasiofanikiwa ni uwezo wao wa kukabiliana na changamoto za kimaisha kwa usahihi na sio kukosekana kwa changamoto.Jifunze zaidi kwenye somo hili