Somo hili litakufundisha NGUVU na MAMLAKA ya MUNGU ndani yako katika YESU KRISTO. Hakuna MTU au kitu chochote kinachoweza kushindana na wewe katika YESU KRISTO.
All content for MOZE KIMARO is the property of Moze Kimaro and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Somo hili litakufundisha NGUVU na MAMLAKA ya MUNGU ndani yako katika YESU KRISTO. Hakuna MTU au kitu chochote kinachoweza kushindana na wewe katika YESU KRISTO.
KUNA wakati tunapitia Mambo na wakati mgumu sana katika maisha yetu. Lakinii NENO LA MUNGU linatutaka tuwe na SABURI / UVUMILIVU KWA MUNGU UNAOTUSAIDIA KUSUBIRIA UTIMILIZAJI WA AHADI ZA MUNGU JUU YA MAISHA YETU.
Mpendwa iko NEEMA YA MUNGU yenye UWEZO wa kututendea MAAJABU NA MUUJIZA hata katika kipindi ambacho hatutarajii chochoteee au hutuwezi kuamini tena Jambo fulanii.
Mpendwa zipo nyakati za kupimwa IMANI zetu na kuthibitishwa MBELE ZA MUNGU. Sio kipindi rahisi LAKINI MARA ZOTE IKO NEEMA YA MUNGU YENYE KUTUWEZESHA KUSHINDA YOTE.
UNASIKILIZA SAUTI YA NANI? Na KUIKIRI JUU YA MAISHA YAKO ? Ziko sauti nyingi zinaweza kujaa kuzungumza na wewe wakati unapopitia Hali fulanii, lakini yakupasa kusikiliza SAUTI YA MUNGU.
Mpendwa ziko NYAKATI ambazo unatamani kama ungekuwa unajua nyumbani kwa MUNGU uende ukamlilie apo au ungekuwa na mawasiliano yake upige adi apokee akusaidie. Mpendwa ninazo Habari NJEMA KWAKO MUNGU AMESEMA MUUITE NAYE ATAITIKA NA kushuka KUKUSAIDIA.
Mpendwa inawezekanaa kabisaa maisha yako hayana TUMAINI tena, huoni kuwezekana tena, USIOGOPEE MUNGU ANAWEZAA YOTE NA ATAKUSAIDIA NA KUKUTENDEA MEMA KWA JINA LA YESU. SIKILIZAAA UJUMBE HUU.
Mpendwa MUNGU ana MPANGO MZURI na MAISHA YAKO, lakini shetani siku zote anatafuta kuyaharibu au kuyazuia HAYO MAPENZI YA MUNGU KWAKO. JIFUNZE NAMNA au mbinu za KUYASHINDA na KUYAZUIA mapenzi na mpango wa shetani katika maisha YAKO.
Mpendwa ziko NYAKATI katika maisha yako unatakiwa usikie toka kwa BWANA MUNGU. Ujue Pamoja na yote yaliyokuzunguka BWANA MUNGU wako anazungumza nini?. Ujumbe huu ukawe JIBU la MUNGU juu YAKO KATIKA JINA LA YESU.
ROHO MTAKATIFU huliongoza kanisa yaani kila Mkristo mmoja MMOJA kuijua SAUTI ya MUNGU na MAPENZI YA MUNGU. SOMO hili litakusaidia kukuwekea msingi wa kuanza kuongozwa na ROHO MTAKATIFU katika kuyajua na kutenda MAPENZI YA MUNGU.
Mpendwa MUNGU ametuokoa tuwe na ushirika na YEYE. Ametupa ROHO MTAKATIFU atusaidie na kutuwezesha katika huu ushirika. Hatutakiwi kuwa na ushirika na dini au madhahebu Bali YESU.
Watu wangi wamepokea dini na madhahebu na sio YESU. Kumpokea YESU ndio kupokea UKRISTO AU WAKOVU. UKRISTO HAURITHIWI kamwe, unaweza kurithi dini na madhahebu na sio UKRISTO yaani WAKOVU.
Somo hili litakufundisha NGUVU na MAMLAKA ya MUNGU ndani yako katika YESU KRISTO. Hakuna MTU au kitu chochote kinachoweza kushindana na wewe katika YESU KRISTO.