All content for Mapenzi na nucci is the property of Mc Nucci and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Nina marafiki kadhaa wa kike na nina sonier she is simply a genius different from others and she knows how to make a difference i hope you're gonna learn as i did
Nimepiga story nyingi sana na na Ester,Luccy na sylivia kuna mengi ambayo wanaume hatuna na wanawake wanahitaji i hope utatoka na somo #nucci na mapenzi
Kuachana kupo kwenye mahusiana ya kimapenzi na baadhi wanarudiana wakiachana sasa hamuwezi mkaeudiana kirahisi simply kwasababu hamtaki yaliyo tokea kujirudia sikiliza kwa makini hayo maswali sita ambayo unapaswa kumuuliza mpenzi wako kabla hamjarudiana