Ijue gharama halishi ya muda ambao unautumia kwenye social media (mitandao ya kijamii). Kwa wastani mtumiaji wa kawaida wa internet anatumia saa 2.5 mpaka 3 kwenye mitandao ya kijamii kwa siku. Mtanzania wa kawaida anatumia wastani wa saa 2.5 kwa siku ambayo ni sawa na siku 28 za kazi kwenye social media kwa mwaka. Huu ni muda mwingi ambao usipotumika vizuri unasababisha hasara kifedha na kiafya pia. Jifunze na upate siri na maarifa zaidi kuhusu ukweli juu ya matumizi ya simu, internet na mitandao ya kijamii. Ungana na Michael Kamukulu kupitia LENZI @lenzipodcast