
Mafanikio hayatokei kwa bahati, wanaofanikiwa wote wanajuia na kuifuata misingi inayowapelekea mafanikio kwa kuwekeza kwenye maeneo yanayoongeza thamani yao kwenye maisha. Siri ya mjasiriamala au mfanyakazi mwenye mafanikio iko kwenye uwezo wake wa kuongeza thamani yake katika biashara au kazi anayoifanya. Thamani huongezeka kwa kuzingatia misingi mkuu ya fedha, maisha na mafanikio. Unaweza kutumia nguvu na muda mwingi kwenye kuikuza biashara na kutafuta mafanikio, lakini mara baada ya kuyafikia mafanikio hayo, ukashindwa kuyafurahji. Unahitaji kufuata misingi ya uwekezaji kwa kuwekeza kwenye maeneo muhimu yatakayokuongezea thamani na kukuwezesha kudumu kwa muda mrefu katika mafanikio yako. Acha mazoea ya kuwekeza kwenye pesa, ongeza thamani maana pesa hufuata thamani. Haya ni maeneo manne (4) yanayofaa kwa uwekezaji usiokuwa wa kibiashara: 1) Afya Imara 2) Elimu & Maarifa 3) Mahusiano bora (ya aina zote) 4) Taaluma (Career) Jifunze zaidi na Michael Kamukulu kupitia LENZI @lenzipodcast #mafanikio #biashara #thamani #hela #tanzanianyoutuber #tanzania #kenya #rwanda #timizamalengoyako #lenzi #michaelkamukulu * * * Time Stamps 00:00 Uwekezaji wenye tija 00:32 1. Uwekezaji kwenye Afya 01:59 2. Uwekezaji kwenye Elimu & Maarifa 03:06 3. Uwekezaji kwenye Mahusiano 03:54 4. Uwekezaji kwenye Taaluma (career) 04:48 Fedha inatafuta thamani (money follows value)