Leo tumejiunga na gwiji wa Kiswahili, mwalimu Mariana Kweyu kujadili Mahusiano kwenye maisha ya binadamu.
Mariana pia ana idhaa ya Kiswahili pale YouTube. Unawezakujifunza zaidi kutoka kwake kupitia https://www.youtube.com/@swahiliwithmariana2246
Mwalimu James Muhatia aeleza kiundani kuhusu maana na dhima ya Fasihi. Kupitia kipindi hiki, utaipata fursa ya kujua maana ya Sanaa. Kwa maelezo zaidi kuhusu Fasihi na masomo ya Kiswahili, mwandikie mwalimu Muhatia kupitia jamesmuhatia866@gmail.com.