Home
Categories
EXPLORE
True Crime
Comedy
Business
Society & Culture
History
Sports
Health & Fitness
About Us
Contact Us
Copyright
© 2024 PodJoint
00:00 / 00:00
Sign in

or

Don't have an account?
Sign up
Forgot password
https://is1-ssl.mzstatic.com/image/thumb/Podcasts221/v4/73/0f/12/730f12e7-2819-d7ef-a265-8c01adcd5257/mza_17396847367184726290.jpg/600x600bb.jpg
Jua Haki Zako
RFI Kiswahili
24 episodes
6 hours ago

Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.

Show more...
Government
RSS
All content for Jua Haki Zako is the property of RFI Kiswahili and is served directly from their servers with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.

Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.

Show more...
Government
Episodes (20/24)
Jua Haki Zako
DRC : Ukatiloia wa jinsia wakithiri
Skiza makala haya kufahamu mengi
Show more...
1 week ago
9 minutes 24 seconds

Jua Haki Zako
DRC : Haki za raia wanaoishi na ulemavu Goma, DRC
Katika makala haya  shaba yetu inalenga nchini DRC hasa eneo la Mashariki, ambapo tunajadili haki za malemavu eneo hilo.
Show more...
1 week ago
9 minutes 57 seconds

Jua Haki Zako
Uganda : Uchaguzi raia wanafahamu haki zao
Uchaguzi nchini Uganda, unatarajiwa kufanyika mwezi  January, Rais Museveni akichuana tena na Hasimu wake wa kisiasa mwanamziki aliyeukia siasa, Bobi Wine.
Show more...
2 weeks ago
9 minutes 57 seconds

Jua Haki Zako
Kenya/Nigeria : Wanawake wanahangaishwa kwa mitandao
Katika makala haya  tunaangazia suala linalozidi kuwa pasua kichwa—unyanyasaji wa wanawake kwenye mitandao ya kijamii.
Show more...
1 month ago
10 minutes 1 second

Jua Haki Zako
DRC : Unyanyasaji wa haki za watoto
Watoto wanatumika kwa baishara ya ngono
Show more...
1 month ago
9 minutes 50 seconds

Jua Haki Zako
Kenya: Wayu Daba wapokeahati miliki ya shamba
Katika makala haya  tunaangazia hatua ya kihistoria kwa jamii ya wafugaji nchini Kenya. Jamii ya Wayu Daba imekabidhiwa rasmi hati miliki ya ardhi yao kupitia Mpango wa Kusimamia Ardhi Kidigitali, unaoendeshwa na serikali  mradi unaotekelezwa kwa ushirikiano na Shirika la Chakula na Kilimo, FAO.
Show more...
1 month ago
10 minutes

Jua Haki Zako
Africa : Haki ya waandishi wa vitabu
Katika makala haya  tutajadili haki za mwandishi wa vitabu, Je, mwandishi wa kitabu ana haki gani anapochapisha kitabu chake katika mashirika ya uchapishaji? Ni kipi kinafaa kuzingatiwa katika mchakato wa uchapishaji?
Show more...
1 month ago
10 minutes 17 seconds

Jua Haki Zako
Maandiko matakatifu yapewe nafasi kusuluhisha mizozo
Katika makala haya tunaangazia safari ndefu ya amani katika mataifa yanayopitia migogoro, Shabaha ikiwa ni Sudan Kusini na Somalia.
Show more...
1 month ago
10 minutes 1 second

Jua Haki Zako
Mashambulizi kupitia mitandao ya kijamii
Mitandao ya kijamii na teknolojia za kidijitali zimekuwa sehemu ya maisha yetu ya kila siku. Tunawasiliana, tunajifunza, tunafanya biashara na hata kushiriki mijadala ya kitaifa kupitia mitandao. Lakini pamoja na manufaa haya, kumekuwa pia na changamoto kubwa: mashambulizi ya maneno, udukuzi wa akaunti, na hata ulaghai wa kifedha.
Show more...
2 months ago
9 minutes 56 seconds

Jua Haki Zako
Je mchango wa wanawake ni upi katika juhudi za kupigania haki zao
Wanawake wametuhumiwa kwa kukosa kupigania haki zao, lakini msimamo huu unakanusha na wengi.
Show more...
2 months ago
9 minutes 46 seconds

Jua Haki Zako
Dunia: watoto wanazidi kutumika kama vijakazi
Mwezi wa Juni ulishuhudia matukio mawili muhimu ya kimataifa yakiangazia haki na ustawi wa watoto. Mnamo tarehe 12 Juni, dunia iliadhimisha Siku ya kupinga Ajira ya Watoto, (World Day Against Child Labor) ikirejelea takwimu za kutisha kwamba watoto milioni 160 duniani kote bado wamenaswa katika ajira ya watoto - wengi wakifanya kazi chini ya mazingira hatarishi.
Show more...
2 months ago
10 minutes 3 seconds

Jua Haki Zako
Africa : Mazingira yanavyoathiri haki za watoto
Katika makala haya tunangazia uharibifu wa mazingira unavyoathiri haki za  watoto.
Show more...
2 months ago
9 minutes 53 seconds

Jua Haki Zako
Kenya : Haki ya kumiliki ardhi ya jamii ya wafugaji
Jamii za wafugaji nchini Kenya, bado zinapitia changamoto za kumiliki ardhi, jamii hizo ni kama vile,Turkana, Samburu, Rendille, Borana, Gabra na nyingine , zimeathiriwa kwa muda mrefu na unyang’anyi wa ardhi wakati wa ukoloni, ambao uliendelezwa hata baada ya uhuru .
Show more...
2 months ago
10 minutes 5 seconds

Jua Haki Zako
EAC : Uhuru na haki ya wanahabari kujiunga miungano
Kataika makala haya  tunajadili umuhimu wa wanahabari kuelewa na kulinda haki zao, hasa kupitia vyama na miungano ya waandishi wa habari.
Show more...
3 months ago
9 minutes 54 seconds

Jua Haki Zako
EAC : Wakimbizi wazidi kukimbia makwao wakitafuta amani
Maelfu ya watu kote barani Afrika wanalazimika kuyahama makazi yao—wengine kwa sababu ya vita, wengine kwa sababu ya mateso au hali ngumu ya maisha. 
Show more...
3 months ago
10 minutes 8 seconds

Jua Haki Zako
Kenya : Haki ya mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa
katika makala haya mskilizaji tunazAma kuangazia  uamuzi wa kihistoria uliofanywa hivi majuzi na Mahakama ya juu zaidi ya Kenya kuhusu haki za mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa ya dini ya Kiislamu—hasa kuhusu haki ya kurithi mali ya baba yake.
Show more...
3 months ago
9 minutes 14 seconds

Jua Haki Zako
Maziwa Makuu : Haki ya afya ya akili
Afya ya akili ni nguzo ya kila mmoja wetu ili kuafikia haki nyingine muhimu.
Show more...
3 months ago
10 minutes 16 seconds

Jua Haki Zako
Kenya : Vijana wazidi kuandamana
Kwa wiki za hivi karibuni zimekuwa za misukosuko nchini Kenya, mitaa ya jiji la Nairobi na miji mingine mikuu imekuwa ikifurika vijana… wakiwa na mabango mikononi, miili yao ikiwa tayari kwa chochote — hata kwa  gesi ya kutoa machozi  na risasi.
Show more...
4 months ago
9 minutes 46 seconds

Jua Haki Zako
EAC : Haki za wanawake maeneo ya vita
Katika kila kona ya dunia, sauti za wanawake zimekuwa zikipigania jambo moja kuu – haki. Haki ya kusikilizwa,  Haki ya kuthaminiwa, Haki ya kupewa nafasi sawa. Na hapa Africa Mashariki  ingawa hatua zimepigwa, safari ya mwanamke kuelekea usawa bado ina changamoto, katika hali ya vita kama vile, Mashariki mwa DRC, nchini Sudan Kusini na kaskazini, kaskazini mwa Ethiopia na pia Musumbiji.
Show more...
4 months ago
9 minutes 57 seconds

Jua Haki Zako
DRC : Haki ya wanawake Mashariki mwa DRC
Katika makala haya  tunajikita kuangazia hali ya haki ya wanawake Mashariki mwa DRC baada waasi wa M23 kufaulu kudhibiti miji ya Goma na Bukavu. Tunazungumza na wakili Maggie Mkulima Shukru kutoka jijini Bukavu kutueleza hali ilivyo mashariki mwa DRC.
Show more...
4 months ago
10 minutes 2 seconds

Jua Haki Zako

Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.