Send us a text Uvivu wa kuomba ni adui mkubwa wa ukuaji wa kiroho. Wengi tunajua tunapaswa kuomba, lakini mara nyingi tunajikuta tumechoka, tunasahau, au hatuna hamu kabisa ya kuomba. Katika somo hili, utajifunza kibiblia namna ya kushinda uvivu huu wa kuomba. Hakika hili ni somo la baraka sana ambalo litakusaidia kukua kiroho na litakusaidia kujua namna ya kushinda vizuizi vingi ambavyo vinainuka kukuzuia kuomba. Sikiliza sasa somo hili. Usisahau KUSUBSCRIBE, KUSHARE, na KULIKE podikasti ...
All content for Innocent Morris is the property of Innocent Morris and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Send us a text Uvivu wa kuomba ni adui mkubwa wa ukuaji wa kiroho. Wengi tunajua tunapaswa kuomba, lakini mara nyingi tunajikuta tumechoka, tunasahau, au hatuna hamu kabisa ya kuomba. Katika somo hili, utajifunza kibiblia namna ya kushinda uvivu huu wa kuomba. Hakika hili ni somo la baraka sana ambalo litakusaidia kukua kiroho na litakusaidia kujua namna ya kushinda vizuizi vingi ambavyo vinainuka kukuzuia kuomba. Sikiliza sasa somo hili. Usisahau KUSUBSCRIBE, KUSHARE, na KULIKE podikasti ...
Send us a text Kuna nguvu ya kipekee inayofichwa kwenye maombi ya usiku! Na maombi ya usiku ni maombi yenye matokeo makubwa katika maisha ya mtu. Katika somo hili utajifunza hatua kwa hatua jinsi ya kujizoeza kuamka bila kuchoka na kufurahia maombi ya usiku. Sikiliza sasa somo hili. Ubarikiwe sana. Innocent Morris +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Tiktok: hscworship
Send us a text Uvivu wa kuomba ni adui mkubwa wa ukuaji wa kiroho. Wengi tunajua tunapaswa kuomba, lakini mara nyingi tunajikuta tumechoka, tunasahau, au hatuna hamu kabisa ya kuomba. Katika somo hili, utajifunza kibiblia namna ya kushinda uvivu huu wa kuomba. Hakika hili ni somo la baraka sana ambalo litakusaidia kukua kiroho na litakusaidia kujua namna ya kushinda vizuizi vingi ambavyo vinainuka kukuzuia kuomba. Sikiliza sasa somo hili. Usisahau KUSUBSCRIBE, KUSHARE, na KULIKE podikasti ...
Send us a text Karibu ujifunze jinsi ya kuomba maombi ya nadhiri. Katika somo hili utajifunza namna sahihi ya kibiblia ya kuomba maombi haya, utajifunza mambo muhimu ya kuzingatia kabla ya kufanya maombi haya, na pia utajifunza ni wapi ulipokuwa unakosea na utajua namna ya kurekebisha makosa hayo. Hakika hili ni somo la baraka sana ambalo litakusaidia kukua kiroho. Sikiliza sasa somo hili. Usisahau KUSUBSCRIBE, KUSHARE, na KULIKE podikasti hii ili kusambaza ujumbe wa Mungu kwa wengi zaidi...
Send us a text Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya maombi hujibiwa na mengine hayajibiwi? Je, unatamani kuwa na maisha ya maombi yenye nguvu na yenye matokeo? Ikiwa umechoka kuomba maombi yasiyo na majibu na uko tayari kuona mabadiliko, basi video hii ni kwa ajili yako. Karibu ujifunze katika somo hili siri tano za kuomba maombi yenye nguvu. Sikiliza sasa somo hili. Usisahau KUSUBSCRIBE, KUSHARE, na KULIKE podikasti hii ili kusambaza ujumbe wa Mungu kwa wengi zaidi! Ubarikiwe sana...
Send us a text Je, unatamani kujazwa na nguvu ya Roho Mtakatifu ili maisha yako ya kiroho yabadilishwe kabisa? Je, umekuwa na kiu ya kupokea kipawa cha Roho Mtakatifu na kutamani kunena kwa lugha mpya? Omba sasa maombi haya kwa imani na Mungu wa mbinguni atakuapatia haja ya moyo wako. "Lakini mtapokea nguvu, akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu." Matendo ya Mitume 1:8 Usiache kushiriki podikasti hii na wapendwa wako ili nao wapokee neema ya Mungu. Mungu akubariki sana 🙏. Innoc...
Send us a text MAOMBI YA KUOMBA ROHO YA UNYENYEKEVU - Innocent Morris Katika maombi haya tutamwomba Mungu atujalie roho ya unyenyekevu. Kupitia maombi haya, tunaweka mioyo yetu mbele za Bwana tukijifunza kutembea kwa unyenyekevu, kutii Neno lake na kuepuka kiburi kinachotuzuia kuona utukufu wake. Utaongozwa kuomba ili: Mungu akuvike moyo wa unyenyekevu. Uishi maisha yanayompendeza Kristo. Ushinde roho ya majivuno na kujitegemea. Upokee neema na kibali cha Mungu kwa wingi. Tenga muda w...
Send us a text MAOMBI YA KUOMBA MUNGU AWE PAMOJA NAWE - Innocent Morris Karibu katika maombi haya ili kuomba Mungu awe pamoja nawe katika kila eneo la maisha yako. Tunamhitaji sana Mungu katika maisha yetu kuliko kitu kingine chochote. Kwa hiyo chukua dakika kadhaa kuomba Mungu awe pamoja nawe katika kila eneo la maisha yako. "Bwana akawa pamoja na Yusufu, naye akasitawi; naye alikuwa katika nyumba ya bwana wake, yule Mmisri." Mwanzo 39:2 Usisahau KUSUBSCRIBE, KUSHARE, na KULIKE podikasti ...
Send us a text MAOMBI YA UKOMBOZI KWA DAMU YA YESU | Deliverance Prayers - Innocent Morris Karibu kwenye maombi haya ya ukombozi kwa Damu ya Yesu Kristo. Damu ya Yesu ina nguvu ya kuleta uponyaji, uhuru, msamaha na ushindi dhidi ya nguvu zote za giza. Ungana nasi katika maombi haya na amini kwa moyo wako wote, kwa kuwa maandiko yanasema: "Nao wakamshinda kwa damu ya Mwanakondoo, na kwa neno la ushuhuda wao..." (Ufunuo 12:11). 👉 Tumaini lako, uponyaji wako na ukombozi wako viko kat...
Send us a text Katika episode hii, Mtumishi Innocent Morris anafundisha juu ya umuhimu wa kuanza siku yako pamoja na Bwana. Ujumbe huu unaleta mwanga juu ya nafasi ya Mungu katika kila mwanzo wa siku zetu na jinsi ushirika wa kila asubuhi na Roho Mtakatifu unavyoweza kubadilisha maisha yako kabisa. Ni wakati wa kujifunza, kuhamasika, na kuchochewa kiroho ili uanze kila siku ukiwa na nguvu mpya kutoka kwa Bwana. Ubarikiwe sana. 📞 Innocent Morris WhatsApp: +255652796450 ...