Ni muda wa kuchukua nafasi yako katika meza ya H.W nasi tutawasilisha kwako mawazo ya thamani kwa maneno ya dhahabu. Mahali pa kwanza na pekee unapohitaji kuwa kwa ajili ya ustawi wako. Karibu tujifunze vingi.
Pata nafasi ya kusikiliza mambo ya msingi sana yatakayonoa stadi zako, kukuongezea maarifa na kuchochea maendeleo yako ya kiutu. #Karibu_nyumbani.
All content for H.W PODCAST - Positive Vibes! is the property of Hub of Wisdom inc. and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Ni muda wa kuchukua nafasi yako katika meza ya H.W nasi tutawasilisha kwako mawazo ya thamani kwa maneno ya dhahabu. Mahali pa kwanza na pekee unapohitaji kuwa kwa ajili ya ustawi wako. Karibu tujifunze vingi.
Pata nafasi ya kusikiliza mambo ya msingi sana yatakayonoa stadi zako, kukuongezea maarifa na kuchochea maendeleo yako ya kiutu. #Karibu_nyumbani.
Dina Marios anatoa funzo kubwa kutoka katika historia ya kusisimua ya maisha yake. Hamasika!
H.W PODCAST - Positive Vibes!
20 minutes 5 seconds
3 years ago
Dina Marios anatoa funzo kubwa kutoka katika historia ya kusisimua ya maisha yake. Hamasika!
Mwanadada Dina ni mmoja wa watu wanaoshangiliwa sana hapa Tanzania. Ameotesha mizizi ya ushawishi kwa hadhira yake kupitia umaridadi alionao katika media na harakati za kuwaleta wanawake wa kitanzania pamoja. Lakini nani ajuaye kuhusu mapito yake na kilichomfanya asimame na kuwa mfano bora hata leo. Hapa anatoa hamasa ya maisha. Mawazo yake juu ya kinachopaswa kufanywa na kila mwanajamii mwenye kiu ya kustawi. Usiache kutoa maoni yako kwa njia ya sauti kupitia link iliyopo hapo chini nasi tutayaambatanisha katika toleo lijalo au tuandikie kupitia 0753825794. Furahi!