All content for FradoFx Podcast is the property of fradofx and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Hii ni podcast number 1 Tanzania inayozungumzia biashara ya forex kiundani, BIASHARA ambayo imefichwa kwa watu wachache na mabenki
Najua wote tunapenda kutengeza pesa katika forex, lakini changamoto kubwa ni kubadili strategy kila siku, Sikiliza episode hii yote na utajifunza kitu kikubwa sana
Ilinichukua zaidi ya mwaka katika forex kuwithdraw faida ya mara ya kwanza, hii ni kwasababu sikufaham mbinu za kujifunza na kuelewa kwa haraka, Usiwe kama mimi jifunze katika episode hii, WhatsApp 0754958520
Hivi unajua kuwa kuna baadhi ya makosa madogo madogo ambayo yanaweza kukuangusha katika biashara hii , usirudi nyuma tena sikiliza episode hii tena na tena
Pengine una zaidi ya mwaka mzima katika biashara hii lakini hauoni faida yoyote,katika episode hii nimeandaa siri 3 kubwa ambazo zitakutia moyo lkn pia kukufundisha zaidi na kutoka katika shimo hilo
Broker ni kampuni ambazo zinatuwezesha kuweza kushiriki katika soko la forex, bila broker hatuwezi kufanya forex,Nimeelezea wazi namna ya kuwapata brokers hawa na kujiunga katika forex
Katika episode hii nimezungumzia maana halisi ya forex, Nimetoa pia ufafanuzi kuhusu njia mbili kubwa ambazo forex inafanyika
Nimekutoa wasiwasi kuhusu kutengeneza faida katika biashara
Nimeelezea kuhusu ukweli wa kutengeneza pesa katika biashara na unahitaji vitu gani ili kubadili maisha yako kupitia biashara hii
Kama una swali lolote
wasiliana nasi frado224@gmail.com
WhatsApp 0754958520