Kutana na mijadala mbalimbali ya vijana wa kiislam wakijaribu kudodosa kila utata katika mitizamo ya imani ya kiislamu. Hapa mada zote ni mada. DARASA DUARA ndilo jibu la wasiwasi wako.
All content for Darasa Duara is the property of Abu Hunayf Amri Bakary and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Kutana na mijadala mbalimbali ya vijana wa kiislam wakijaribu kudodosa kila utata katika mitizamo ya imani ya kiislamu. Hapa mada zote ni mada. DARASA DUARA ndilo jibu la wasiwasi wako.
Kwa ajili ya ta athiri na tija ya kuelewa mafunzo...njia ipi itumike? Waweza kuwa unalengo la kujenga lakini kutokana na njia unazotumia kufikia lengo...ukajikuta wabomoa badala ya kujenga. Na hii huenda ikawa sababu ya wanazuoni kukinzana.
Ni ipi hakika ya asili ya mwanadamu? Mwema afanyae maovu, au muovu anayejitahidi kufanya mema??? Jiunge na vijana 30 wakijaribu ku bahathi kwa kurejea thibiti mbalimbali za kihistoria.
Umepanda gari ukamkuta mu injilisti akihubiri...je wewe kama kijana wa kiislam yafaa kuskiliza? Kutana na mjadala wa vijana wa kiislam wakikubaliana kutofautiana na ili kupata kuelewa mitizamo ya watu wengi...kila mtu anachangia...sasa upi usahihi??? Sikiliza!
Kutana na mijadala mbalimbali ya vijana wa kiislam wakijaribu kudodosa kila utata katika mitizamo ya imani ya kiislamu. Hapa mada zote ni mada. DARASA DUARA ndilo jibu la wasiwasi wako.