All content for CHACHU YA MIGOGORO YA MAHUSIANO is the property of Deo Sukambi and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Sababu zinazochochea migongano katika mahusiano na kupelekea watu wengi kushindwa kufurahia maisha na wenzi wao
Kwanini wanaume hawapendi wanawake wenye uwezo? Je, wapo kinyume na uwezo wao? Na kwanini wanaonekana kuwapenda zaidi wanawake duni? Majibu haya na unaweza kupata ufafanuzi zaidi katika kitabu cha USICHOJUA KUHUSU WANAUME..piga namba/whatsap 0715104034 kupata nakala yako
Mahusiano ni jambo zuri ikiwa yanakuwa katika hali ya amani na furaha. Tofauti na matarajio ya wengi wanapikuwa kwenye mahusiano Watu wanaumia, wanaumizwa na wanaumizwa. Ikiwa kuna jambo moja ambalo unaweza kufanya ni kujua nini hasa kinachochochea kwa kiwango kikubwa migogoro hii katika nyakati hizi kuliko wakati mwingine wowote..katika episode hii Deogratius ametoa dondoo chache muhimu ambazo zimekuwa chachu kwa migogoro mingi katika mahusiano. Kitabu cha USICHOJUA KUHUSU WANAUME sasa kinapatikana. Kwa mawasiliano piga namba 0715104034