All content for Busta Ya Leo is the property of MCSHONDE and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
In this Swahili podcast, we discuss social and spiritual issues adhering to personal testimonies of the invited guests.
Kamwe usimsahau yule aliyekuwa karibu yako pale ulipohitaji uwepo wake. Usimsahau yule aliyekushika mkono na kukutambulisha kwa fulani aliyekupa msaada. Never! Never forget that person.
Je niishi kama mtu fulani maarufu anavyoishi? Na je anayotuonyesha mtandaoni ni uhalisia au vipi? Ni vyema sana watu wa Mungu wakafahamu uhalisia wa namna mitandao ya kijamii inaweza kukufaidisha na vilevile kukupoteza.