
Karibu tena kwenye Afya Talk. Leo tunaanza rasmi msimu wa tatu.
Chakula na Afya ni mada itakayozungumzia namna gani vyakula vina athiri afya zetu. Leo kwenye utangulizi tumezungumza kuhusu vyakula vya wanga, protini, mafuta na maji. Karibu ujifunze na kushirikisha wengine.