Sheikh Zuberi Nkwabi amezungumzia namna ya wanaume kuwa viongozi kwa wanawake
Katika episode hii Dr. Mbwarali Kame amejaribu kuzungumzia maadili ya mtoto
Sheikh Shahiid Muhammad kutoka Jijini Mwanza Muhadhiri na Mwanaharakati Maarufu alituelezea haswa nini kifanyike kwa Muislamu ili Kulinda wakati.
Tumekutana na Inspekta M.K.MAKORA kujadili Ukatili wa kijinsi namna ulivyokithiri katika Jamii ya Kitanzania
Tulikuwa na Sheikh Hassan Muhammadayn tukijadili Amani kwa Mujibu wa Qur`an na Sunnah
Kipindi hiki kinaelezea namna ambayo waalimu na wanafunzi wanaweza kufanya ili kufikia lengo la kukiendeleza vema kitabu cha Allah Subhaanah ambacho ni Qur`an Tukufu.
E15 NCHA KALI PODCAST |SI KILA MWANAMKE ALIYEACHIKA KUWA SI MKE | SHEIKH NURDEEN KISHKI
Ep14 NCHAKALI | YANAYOWASUMBUA WANAWAKE WENGI KATIKA NDOA | MWALIMU DIMOSO| PODCAST
Ep 13 NCHA KALI | LISHE | BROTHER JUMA KILAGHAI | PODCAST #chakula #wali #sambusa #bongo
Ep 12 NCHA KALI | MIHEMKO KATIKA JAMII | SHEIKH SALIM QAHTWAN | PODCAST #NchaKali #ADPlusSwahili|Podcast #IslamicChannel
E11 NCHA KALI | KUKITHIRI KWA SHIRKI | SH MOHAMMED NDULI | PODCAST
ni kipindi kinachoelezea namna ambavyo muislam anatakiwa kuamiliana na wanaadamu wenzake
00:00-01:17 Clip ya utangulizi
01:18-04;55 Ufunguzi
04:55-06:07 Jamii inaudhaifu kiasi ganikwenye suala la kuamiliana
06:08-13:20 Makosa yanayofanyika katika kuamiliana na watu
13:22-19:45 Kinachopelekea baadhi ya maduati kuwa na miamala mibovu
27:07-37:50 Sifa za miamala mizuri
37:51-41:27 Mifano ya makosa ya kuamiliana
41:30-46:10 Nasaha kwa viongozi na miamala
46:15-52:00 Namna ya kuamiliana na wasio waislam
Ni kipindi kilicholenga kumfikirisha mfuatiliaji juu ya vyakuzingatia kabla na baada ya kutenda wema SH RAMADHAN QAHTAN @
00:01-01:15 Clip ya utangulizi
01:18-04:21 Ufunguzi
04:21-06:58 Ufafanuzi wa anuani ya kipindi
06:58-14:53 Nini uzingatie ukifanya wema kama ibada
15:00-24:22 Kuonyesha wema katika mitandao ya kijamii limekaaje
24:25-27:25 Kufanya wema kwa kutaraji malipo
27:30-35:30 Je anaetendewa wema anatakiwa achukulie vipi jambo hili
35:30-44:41 Malezi na baada ya kutendewa mema
50:00-53:40 Kwa nini wengi tunamtazamo tukifanya wema tunataraji malipo
54:00-57:42 Nasaha kwa umma
57:50-01:00:03 Mwisho
Kipindi kinachoelezea kuhusu sifa za mwanaume anaestahili kuoa mke zaidi ya mmoja
ni kipindi kinachozungumzia umuhimu wa lugha ya kiarabu kwa muislam na nafasi ya lugha hiyo katika dini adhim ya uislam
Ni kipindi kichozungumzia kutokushughulika na aibu za watu na nini uislam umetufundisha katika jambo hili
Ni kipindi kinachozungumzia janga la kukithiri kwa kamari katika jamii hususan jamii ya kiislam
Ni kipindi kilicholenga kumfikirisha mfuatiliaji juu ya vipi ajipambe na kujipambanua kama muislam
SH SHAMSI ELMI
Ni kipindi kuhusu migogoro ya mirathi na jinsi ilivyoenea katika jamii za kiislam huku zikielezwa sababu za migogoro hiyo na mbinu za kuepuka
Athari inayopatikana kwa kumfuata Mtume S.AW