Kutana na Chale na Mina kwenye kipindi hiki, ambao mahusiano yao yanapitia changamoto baada ya Mina kupata ujauzito usiotarajiwa. Je, watakabiliana vipi na changamoto hii? Pakua na sikiliza kipindi hiki kufahamu.
Kutana na Naisula na Nakato kwenye kipindi hiki ambao wanajifunza jambo jipya linalobadilisha kabisa maisha yao na familia zao. Je ni jambo gani hilo? Pakua na sikiliza kipindi hiki upate kulifahamu
Chanzo chema, mwisho mwema - pakua kipindi cha sita!
Ya Judi silo ya Leo - Pakua kipindi cha tano!
Kila mwanzo ni mzito - Pakua kipindi cha nne!
Hamu haiji bila kupenda- Pakua kipindi cha tatu kusikiliza!
Safari ni maandalizi- pauk kipindi cha pili!
Msimu wa pili umerudi na timu ya Tujibebe! Sikiliza jinsi timu ya Tujibebe inakubaliana na changamoto mbalimbali kama mabdiliko ya kimwili, urafiki na mengineyo! Pakua sasa kipindi cha kwanza
Kapteni wa Timu anapatikana, Je ni nani huyo?
Tabia anawania nafasi ya ukapteni dhidi ya Jojo, Itakuaje sasa, Jojo atakubali kweli?
Rehema anaamua kuvunja urafiki na Tunu,vimbwanga vinataradadi!
Tunu anapoteza nafasi yake kwenye timu! Sa itakuwaje?
Tunu anaamua kwenda kufuata ushauri wa mtu muhimu.
Timu inapata bonge la ushindi!
Tunu anajitahidi kutatua tatizo lake huku nafasi yake katika kikosi ikiwa hatarini.
Hali ya muwasho wa Tunu inazidi kuwa mbaya, huku Lulu nae anapata changamoto za kifedha!
Mh! Kuna mtu amegundua tatizo la Tunu! Nani huyo?
Jojo na harakati za ukapteni ataziweza kweli?
Katika kipindi cha kwanza cha Tujibebe, tunakutana na Tunu, Rehema na Jojo wakianza mwaka mpya katika shule ya sekondari ya Ongoza. Jojo anamshauri Tunu kujiunga na timu ya netball, kitu ambacho kinaleta changamoto baina ya Tunu na Rehema.