Hivi ulisha wahi kujiuliza kuhusu huduma za Afya Zanzibar. katika wakati huu ambapo huduma ni BURE KABISA, Makubaliano ya utoaji wa huduma kwa kushirikaina na sekta binafsi kama ZED HEALTH SERVICES kampuni inayo pindua meza ya uzembe na mazoea ya utoaji wa huduma za afya Kuwa mstari wa mbele katika kutoa huduma bora Zanzibar katika Hospitali ya Wilaya ya Ijitimai-Unguja na Hospitali ya Wilaya Vitongoji-Pemba pamoja na usimamizi wa huduma za maabara ya Hospitali ya Rufaa ya Abdallah Mzee Pemba Mkoa kusini Pemba. Kuwa namimi masudznz kukusimulia kuhusu huduma za za bure hapa Zanzibar kwa kushirikiana na ZED HEALTH SERVICES