Home
Categories
EXPLORE
True Crime
Comedy
Society & Culture
Business
Sports
Health & Fitness
Technology
About Us
Contact Us
Copyright
© 2024 PodJoint
00:00 / 00:00
Podjoint Logo
US
Sign in

or

Don't have an account?
Sign up
Forgot password
https://is1-ssl.mzstatic.com/image/thumb/Podcasts221/v4/95/c3/b3/95c3b36e-13a1-9f59-bcde-46951c8978ce/mza_6004832844169043241.jpg/600x600bb.jpg
Siha Njema
RFI Kiswahili
24 episodes
5 hours ago

Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.

Show more...
Health & Fitness
RSS
All content for Siha Njema is the property of RFI Kiswahili and is served directly from their servers with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.

Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.

Show more...
Health & Fitness
Episodes (20/24)
Siha Njema
Afueni kwa wanawake wanaokatwa matiti yao kutokana na saratani
Kila mwezi wa Oktoba, ulimwengu huadhimisha Mwezi wa Uhamasishaji wa Saratani ya Matiti, lengo kuu likiwa kuhamasisha vipimo vya mapema ili kupunguza hatari ya ugonjwa huu na kutafuta msaada wa kifedha kwa ajili ya utafiti kuhusu saratani ya matiti.
Show more...
1 day ago
9 minutes 56 seconds

Siha Njema
Kabla kuchagua,kununua mafuta ya kupikia ,zingatia mambo hayo
Mafuta ya mzeituni, alizeti, mafuta ya nazi,mafuta ya mawese ni baadhi ya mafuta kula ambayo yanapendekezwa kutokana na namna yanavyotengenezwa. Mengi hutengenezwa  kwa kukamuliwa ,bila kuongezwa kemikali bila kutumia joto,hivyo ubora wake ni wa juu.
Show more...
3 days ago
10 minutes 19 seconds

Siha Njema
Yafahamu makundi tofauti ya mafuta ya kula,ubora ,madhara na matumizi yake.
Kuanzia yale ya nazi hadi mizeituni, mboga hadi kanola, parachichi hadi mafuta ya wanyama maswali yameibuka kuhusu tunajuaje yapi mazuri ya kutumia, na ikiwa tunapaswa kuepuka yoyote yale kabisa
Show more...
2 weeks ago
9 minutes 54 seconds

Siha Njema
Masaibu ya wakaazi wa kisiwa cha Ndeda nchini Kenya wanaokosa vyoo vya kutosha
Mwongozo wa  shirika la afya duniani,WHO kuhusu usafi,unapendekeza choo kimoja kinaweza kutumika na watu 20 ila katika kisiwa cha Ndeda ndani ya Ziwa Victoria ,watu zaidi ya elfu 2 wanachangia vyoo vitano
Show more...
3 weeks ago
9 minutes 9 seconds

Siha Njema
Vipimo vya afya kabla ndoa vitakusaidia kuchukua maamuzi sahihi ya afya
Kama kuna kipindi watu wengi huwa tumbo joto, ni kusubiri matokeo ya kipimo cha HIV au magonjwa mengi ya zinaa.Au kuambiwa huna uwezo wa kizazi.
Show more...
1 month ago
9 minutes 55 seconds

Siha Njema
Je unafahamu vipimo vya afya unavyohitaji kupima kabla kufunga ndoa?
Watu wengi wanapokaribia kufunga ndoa,hujukumika kufanya vipimo vya virusi vya HIV .Wengi hufanya kipimo hicho si kwa sababu wanajua umuhimu wake bali ni kwa sababu ya ulazima kabla kufunga harusi haswa za Kikristo.
Show more...
1 month ago
10 minutes 13 seconds

Siha Njema
Je unafahamu namna vyakula unavyokula njiani au hotelini vinaandaliwa vipi?
Vyakula vinavyoandaliwa nje ya jikoni kwangu huwezi kufahamu viwango gani vya usafi vimezingatiwa
Show more...
1 month ago
9 minutes 21 seconds

Siha Njema
Nini kifanyike kuwezesha Mipango ya bima ya afya barani Afrika
Juhudi za serikali za Afrika kuja na mikakati ya kutoa huduma za afya kwa raia kupitia mipango ya bima ya afya ya kitaifa zimekabiliwa na changamoto za utekelezaji,ufisadi na mifumo isiyo thabiti.
Show more...
1 month ago
10 minutes 17 seconds

Siha Njema
Utengano wa familia unaweza kuleta shinikizo la damu au kisukari
Wanadamu ni viumbe ambao hukamilika wanapokuwa kwenye jamii ambapo wanaweza kuelezea hisia zao,kujihisi wanathaminiwa na wana mchango kwa wengine. Mambo  hayo yanapokosa,inaweza kuwa chanzo cha matatizo ya kiafya.Na hii ni hali ambao hukuwa nao wakimbizi ambao wametenganishwa na wapendwa wao.
Show more...
2 months ago
10 minutes 4 seconds

Siha Njema
Utapiamlo unaweza kukusababishia Diabetes aina ya 5 wameonya watalaam wa afya
Hivi karibuni watalaam wa afya pamoja  kwa ushirikiano na  shirikisho la ugonjwa wa kisukari duniani,wamethibitisha uwepo wa Kisukari aina ya tano ambao unahusishwa na utapiamlo
Show more...
2 months ago
10 minutes 6 seconds

Siha Njema
Unachohitaji kufahamu kuhusu ugonjwa wa Pneumonia unaoshambulia mapafu yako
Watu wengi hudhani kuwa Pneumonia husababishwa na baridi kuingia kwenye kifua lakini watalaam wanasema chanzo cha Pneumonia ni vimelea kushambulia mapafu na mfumo wa kupumulia
Show more...
2 months ago
9 minutes 12 seconds

Siha Njema
Kwa nini ni muhimu kuongeza uwekezaji bunifu katika afya ya watoto
Hali ya afya ya watoto haswa katika mataifa ya Afrika  imeendelea kuzorota huku kukiwa na ongezeko la visa vya utapiamlo mbaya,ukosefu wa lishe na uhaba wa chanjo muhimu
Show more...
2 months ago
10 minutes 14 seconds

Siha Njema
Watalaam waonya ongezeko la visa vya H pylori katika maeneo ya mijini
H pylori isipotibiwa inaweza kugeuka kuwa saratani ya tumbo ,watalaam wameonya
Show more...
2 months ago
10 minutes 3 seconds

Siha Njema
Ukiwa utatembea hatua elfu saba kila siku unaweka magonjwa hatari mbali
Utafiti uliofanywa wa shirika la utafiti wa afya Lancet Public Health umebaini hatua elfu 7 kila siku unapunguza hatari ya kupatwa na magonjwa ya Saratani,Kisukari,magonjwa ya moyo, shinikizo la damu,sonona na  kupoteza kumbu kumbu
Show more...
3 months ago
10 minutes 6 seconds

Siha Njema
Watalaam waonya kukaa muda mwingi kunaweza kukusababishia kifo cha mapema
Kukaa kwa zaidi ya saa sita mfululizi kila siku inaweza kukuweka kwenye hatari ya kupata magonjwa ya uti wa mgongo,kisukari,shinikizo la damu na kifo cha mapema
Show more...
3 months ago
10 minutes 9 seconds

Siha Njema
Baadhi ya hospitali nchini Kenya zinazalisha chakula kuwalisha wagonjwa
Katika mkakati wa kuboresha lishe,hospitali zinatumia vipande vya ardhi zao kukuza chakula kuwalisha wagonjwa wao
Show more...
3 months ago
10 minutes 17 seconds

Siha Njema
Serikali ya Kenya yazingatia afya ya akili miongoni wa vikosi vya usalama
Waziri wa usalama wa ndani Kipchumba Murkomen amesema polisi wenye changamoto za afya ya akili hawatafukuzwa kazi bali watapewa matibabu stahiki
Show more...
3 months ago
9 minutes 36 seconds

Siha Njema
Je ni muda wa nchi za Afrika kujadili huduma ya kusaidiwa kufa ?
Hivi majuzi bunge la Uingereza limepitisha mswada wa kuhalalisha huduma ya kusaidiwa mtu kufa
Show more...
4 months ago
10 minutes 12 seconds

Siha Njema
Sera ya Kenya kuhakikisha raia wake wanafanya mazoezi kila mara
Takwimu zinaonesha watu wengi kupatwa na magonjwa yasiyoambukizwa kutokana na kuishi bila kufanya mazoezi na kula vibaya
Show more...
4 months ago
10 minutes 6 seconds

Siha Njema
Mwili wako unavyowasiliana kupitia utendakazi wake na kukupa onyo kukiwa tatizo
Kila siku mwili wako hukuzungumzia na ni jukumu lako kusoma mwili wako na kuelewa unasema nini au unakuonya kuhusu nini
Show more...
4 months ago
10 minutes 8 seconds

Siha Njema

Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.